Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Scott bado kumuweka bench fred kibaya zaidi kachezeshwa beki huwa napenda sana akicheza nyuma ya matic huwa timu ina balans fred hawez kuonesha makali yake uwepo wa matic
yule fred hamna kitu nakwambia kama huamini hii comment ntaifukua j5 mkimpanga pale kati mnakula kipigo cha aibu ni usajili wa hovyohovyo tu na kukurupuka
 
yule fred hamna kitu nakwambia kama huamini hii comment ntaifukua j5 mkimpanga pale kati mnakula kipigo cha aibu ni usajili wa hovyohovyo tu na kukurupuka
Mkuu fred ni matumizi tu kocha kashindwa kumtumia yule akipata kocha makini ni bonge la mchezaj timu imeshindwa kuungana leo anacheza na fellain kesho anacheza na perreara mara atacheza na pogba hapo wachezaj wanaweza kutengeneza chemiatry? Mchezaj mwenye uhakika wa sehemu yake ni de gea tu jana ukiangalia mech unaona kabisa pogba hajui afanye nini hajui falsafa ya timu tunacheza mtindo upi lakin tungekuwa na first eleven wangekuwa wanajua nikichukua mpira hapa nautupa kwa flani sasa hiyo hamna
 
Taratiiiiiibu unaanza kuunga mkono juhudi za wapinga Mourinho, karibu hujachelewa.
 
Taratiiiiiibu unaanza kuunga mkono juhudi za wapinga Mourinho, karibu hujachelewa.
Hata bodi ya arsenal ilimkingia kifua sana wenger alipogoma kubadilika ilimtosa mech ya crystal palece na jana ya sutton imeonesha dhahir kocha ni mpuuz ukishindwa kuchukua point kwenye timu ndogo utachukua wapi? Fellain si game changer hapa huwa ananiacha hoi sana mata anakaa bench hadi akiingia anakuwa kama ndo anaanza kujifunza mpira hawapo vizur kisaikolojia na mbinu za kocha jana pogba hadi huruma anachukua mpira kisha anuacha peke yake bila kukabwa dhahir hayupo sawa kiakili
 
Mou kwa sehemu ana bahati mbaya, na kwa sehemu anajitakia "Jose out movement" kuwepo

Kitendo cha Smalling, Bailly, Lindelof, kuwa majeruhi ni bahati mbaya kwake. Pia Rojo hana match fitness, hivyo kwa jana hakuwa na namna kwenye uoangaji wa defenders

Lakini anashindwaje kupanga midfielders ambao ni attack minded, lakini ambo wana haraka (urgency) uwanjani? Anashindwaje kuwa Fred, Herrera na Pogba katikakati, au hata Pereira? Kama anashindwa kuwapanga hao dhidi ya Southampton, je atawapanga mechi ya Barcelona (UCL) kujua kama combination yao ina tija?

Kwa sehemu anaangushwa na baadhi ya wachezaji lakini sometime anajiangusha yeye mwenyewe. Siku zinavyozidi kwenda anapunguza waliokuwa wanamuunga mkono
 
Hapana sio kwa arsenal kuna timu hata iwe mbovu vipi kama ni mti wako hutok mfano man city kwa wigan barcelon anapoenda aneota studium kwa espanyol au atletico akikutana na levante labda kocha aamue kuachia tu
Usifananishe liver na vitu vya kijinga
Sorry nime quote.
Usifananishe City na vitu vya kijinga pambabanen na hali zenu. Wigan alitufunga 2013 akipigania FA cup na huwa tunamtandikaga sana. Wake jamaa wana mpira wa kusumbua sana. Ila Man U mmepwaya sana. Sio ile niliyokuwa naisikia.
 
Kwani city yupo daraja moja na ma giant wa ulaya? Timu inahangaika kumfunga lyon
Unapoongelea giant unamaalisha Historia? We are not in the history bana. Huyo lyon yupo nafasi ya Pili hapo kwenye ligi yao. Kiufupi mlitesa kipindi chenu na sasa waachie wengine watese. Man u imebaki kuwa historia.
 
Kwa hiyo city yupo daraja moja madrid??? Mshabiki wa psg na wa city kujibizana nae ni kujishushia heshima tu
 
Back
Top Bottom