Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tominay yuko vizuri sanaaaa.naombea awe anacheza mechi zote.
 
Degea hayupo kwenye form sawa na misimu 3 ya nyuma. Hali yake inaigharimu hata timu ya taifa ya Spain.
Ni kweli pamoja na kushuka kiwango, kaiokoa sana man u ,anaiokoa man u kwenye mazingira hatarish,

Bila degea sasa hiv amin usiamin either man u angekuwa na kina fulham , au mou asingekuwa kocha wa man u
 
Nani kaingiza huyu Martial, shida kubwa imeanza, watu wanapambana kutafuta mpira kila kona yeye yuko kule mbele anasubiri pambaf sana
 
Nimekoma kumtetea Mou, kuanzia Leo naungana na wanaomtaka aondoke. Tena aondoke mapema sana, hatutapata mafanikio chini yake. Wachezaji hawamtaki, hakuna namna.
 
Back
Top Bottom