Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Kumbe mkuu wewe ni ArsenaneJumatano , nakuja hapo OT kumfukuzisha rasmi kaz mou
Wale waliobet Mou hafik x mass, mkeka unapumua
Kumbe mkuu wewe ni ArsenaneJumatano , nakuja hapo OT kumfukuzisha rasmi kaz mou
Wale waliobet Mou hafik x mass, mkeka unapumua
Ni kweli pamoja na kushuka kiwango, kaiokoa sana man u ,anaiokoa man u kwenye mazingira hatarish,
Bila degea sasa hiv amin usiamin either man u angekuwa na kina fulham , au mou asingekuwa kocha wa man u
Akili za kuku hizi hivi unategemea bahat aliyopata sutton atakutana nayo arsenal? What a joke!!!!Jumatano jirogen mumuweke fred wa paund mil 52 , mbele ya toreira Master,
Tunalipia dstv inauma pia. Leo nilitaka kuvunja kiuno kwa ajili ya kurekebisha dish ili nisikose mechi matokeo ndio hayo.Namuonea huruma de gea na mashabiki wanaonunua tiket za msimu mzima bora sisi huku tunaumia ila hela hatuliw
Namuonea huruma de gea na mashabiki wanaonunua tiket za msimu mzima bora sisi huku tunaumia ila hela hatuliw
Umesahau sasa ni zama za Konk.konk...konk.emeryUtashangaa na Manchester hii mbovu wewe aseno unapigwa vizuri Tu
Soton kapata bahat au man u ndio kapata bahat?Akili za kuku hizi hivi unategemea bahat aliyopata sutton atakutana nayo arsenal? What a joke!!!!
Tofauti ya point kati ya City na Nyumbu ni 16 hapo napo kweli utasema ligi bado yani kwamba na wao wapo kwenye mbio za ubingwaaaaaah
HahaaaaTunalipia dstv inauma pia. Leo nilitaka kuvunja kiuno kwa ajili ya kurekebisha dish ili nisikose mechi matokeo ndio hayo.
Hivi Mou aoni aibu akiangalia Manchester City inavyocheza?. Na timu yake ilivyo
Kitendo cha kuwaza kumchezesha fellain na matic nyuma kidogo ni uchizi uje scott sijui alikuwa anacheza wapi looo young anacheza 2 rojo anakaa bench huu utaniTunalipia dstv inauma pia. Leo nilitaka kuvunja kiuno kwa ajili ya kurekebisha dish ili nisikose mechi matokeo ndio hayo.
Hivi Mou aoni aibu akiangalia Manchester City inavyocheza?. Na timu yake ilivyo
Kwan shida nn ,mimi.nipo hapa msiban kuweka kambiChalii mbona hueleweki wewe ni Man city au Aseno ?
Basi iwe hivyo ila usitegemee kumkuta fellain na matic wakicheza bekSoton kapata bahat au man u ndio kapata bahat?
Arsenal huyoChalii mbona hueleweki wewe ni Man city au Aseno ?
Nawataka hapo hapo kati ,nione watamuweza KIJANA MTUKUTU TOREIRA THE LIONBasi iwe hivyo ila usitegemee kumkuta fellain na matic wakicheza bek
Hahahahahaha hapa ndo utajua wenda wazimu wa mashabik wa arsenal wakat sisi tunajiuliza lini huyu mzee atasepa kumbe mnamuwaza si ajabu tuliwauzia silvesterAshely young ana yellow kadi 5 ataukosa mchezo vs Arsenal
Hii game , lazima Mfe , manaa huyu young huwa anajitahid kupiga kross za kutosha
Sasa kukosekana kwake, means Darmian atacheza ,
Umesahau sasa ni zama za Konk.konk...konk.emery