DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
KWEMA KWELI?MBONA MIMI NATOA SALAMU LAKINI HUU MWITIKO WA SHARI DAHHHHHHHHHHHUnasemaje?
KWEMA KWELI?MBONA MIMI NATOA SALAMU LAKINI HUU MWITIKO WA SHARI DAHHHHHHHHHHHUnasemaje?
Ahh Pole Sana ndio kocha wetu anajenga timu tustahamili tuNimekoma kumtetea Mou, kuanzia Leo naungana na wanaomtaka aondoke. Tena aondoke mapema sana, hatutapata mafanikio chini yake. Wachezaji hawamtaki, hakuna namna.
Tulia hivyo hivyo watu tuna hasiraKWEMA KWELI?MBONA MIMI NATOA SALAMU LAKINI HUU MWITIKO WA SHARI DAHHHHHHHHHHH
Kwani Degea anadakika Liverpool ?Mkuu unaongea nn ww, bila degea sasa hiv tungekuwa tunaongea mengine
Matic na fellain wanacheza beki nilichokiona leo aibu sana kama mourinho hana aibu inatakiwa achimbe tu hamna namnaTumedondosha points 2 nyingine
Namuonea huruma de gea na mashabiki wanaonunua tiket za msimu mzima bora sisi huku tunaumia ila hela hatuliwInasikitisha sana Inahuzunisha sana ........... After 13 games the goal difference is -1 Inakatisha tamaa .Poleni sana Majirani
Pole mkuuNimekoma kumtetea Mou, kuanzia Leo naungana na wanaomtaka aondoke. Tena aondoke mapema sana, hatutapata mafanikio chini yake. Wachezaji hawamtaki, hakuna namna.




aaaaahMsimu huu Degea bado, ukiondoa save ile ya Young Boys, amekuwa na msimu wa kawaida sana