Leo bia inashuka vizuri hapa yule "Martial" hayupo, hapa leo tunatembeza moto mkubwa. Alikuwa anatukaba sana yule kijana mvivu mvivu.
Kwani Martial hachezi mkuuKwani Martial hakuwa starter Monaco? Mbona tunashindwa kumuendeleza?
Degea naye ka-flop. Hayupo kwenye ubora wake ukilinganisha na misimu ya nyuma.Gafla Degea kaumia miez miwili,
Kocha mou, walahi mnashuka daraja
Siyo kweliMan u mpo hiyo nafas kwa uwezo wa degea ,lasivyo mngekuwa mnagombana mkiani na FULHAM ,
Msimu huu Degea bado, ukiondoa save ile ya Young Boys, amekuwa na msimu wa kawaida sanaDegea naye ka-flop. Hayupo kwenye ubora wake ukilinganisha na misimu ya nyuma.
Mkuu unaongea nn ww, bila degea sasa hiv tungekuwa tunaongea mengineMsimu huu Degea bado, ukiondoa save ile ya Young Boys, amekuwa na msimu wa kawaida sana
Degea hayupo kwenye form sawa na misimu 3 ya nyuma. Hali yake inaigharimu hata timu ya taifa ya Spain.Mkuu unaongea nn ww, bila degea sasa hiv tungekuwa tunaongea mengine