Kushindana Alikua anashindana mkuu...Na fainali amefika Mara 4 nafikiri, Mbili akachukua Mbili akapoteza...Amefika robo fainali nyingi tu..Mkuu huoni Kuwa hiyo inaweza Kuwa ni uthibitisho Kuwa alishindwa kushindana na ma giant? (Maana Mara nyingi kuanzia robo fainali ndio Mchele na chuya vinaanza kujitenga)
Sio Liva, ni Liverpool.... The KopsNan liva???????????????????????
So nikisema liva hujaelewaSio Liva, ni Liverpool.... The Kops
I think kwanza ungetuambia hao makocha giants ambao walikuwa bora kuliko SAF na walichoshinda kumzidi yeyeMkuu huoni Kuwa hiyo inaweza Kuwa ni uthibitisho Kuwa alishindwa kushindana na ma giant? (Maana Mara nyingi kuanzia robo fainali ndio Mchele na chuya vinaanza kujitenga)
LabdaSo nikisema liva hujaelewa
Sijamaanisha Kuwa achukue kila mwaka, ila Kwa mfano tunapo sema alidominate EPL sio kwamba alichukua kila mwaka ila alichukua Mara nyingi. Kwa mfano angekuwa na UEFA let's say 5 nadhani tungeweza Ku mrate zaidi. (Mtazamo wangu)Kushindana Alikua anashindana mkuu...Na fainali amefika Mara 4 nafikiri, Mbili akachukua Mbili akapoteza...Amefika robo fainali nyingi tu..
Labda ulitaka awe anachukua Kila mwaka.Kwa records zake Ferg hakua mnyonge UEFA.
Nimezungumzia kushindana na giants clubs sio makocha.I think kwanza ungetuambia hao makocha giants ambao walikuwa bora kuliko SAF na walichoshinda kumzidi yeye
Champions League na ligi ni mashindano tofauti yanayohitaji approach tofauti ndio maana hakuna kocha ambaye aliweza kupata mafanikio kwenye mashindano yote kwa wakati mmoja
Huwa inafika kipindi lazima uweke priority sehemu moja otherwise utakosa vyote
Sir Alex Ferguson alikuwa Kocha Bora na Most Successful manager kwenye EPL lakini sikuwahi Kumsikia Kwenye Press akijisifu Kuwa Yeye Ni Kocha bora Kuliko Makocha wote Wa EPL..
Wala sikuwahi Kumsikia akijisifu kuwa yeye Ni Kocha Bora duniani..
Lakini Morinho haipiti Wiki atajisifu mbele ya Waandishi Wa Habari na Kuponda Wachezaji..
Hili ndiyo Linalomdhuru..
Lakini Si Kweli Kuwa Pogaba au Fred wabovu!!!
Bali Mourinho anawafanya waonekane Wabovu.
Martial
Rashford
Lingard
Hawa wakipata Kocha mwenye Urafiki na Wachezaji basi nakuhakikishia Ni Kina Giggs wapya hawa.
Lakini Mou anawaona kama Wauza Mihogo ya Kuchoma pale Ferri zinapokaa gari za Tegete - Nyuki.[/QUOTE
Umeongea vema, Ferguson alikuwa na busara nyingi.
Morinho ni faka,
🙂Looserpool vipi?
Kwanza sijakuelewa unaizungumzia Manchester United au SAF ?Nimezungumzia kushindana na giants clubs sio makocha.
Tukitokea hapo Kwenye mtazamo wako kwamba pengine priority yake ilikuwa ni EPL kuliko UEFA (and of course alifanikiwa) hauoni Kuwa unakuja Kwenye point yangu Kuwa hana legacy kubwa Kwenye UEFA (pengine ni kutokana na hizo prority)?(Ukizingatia amefanya kazi Kwenye timu Moja Kwa zaidi ya miaka 20)
Mwanzo mzuriView attachment 951772
Paul Ince: "Jose Mourinho is an emotional man, he has been all his career. We know that - but, at the minute, everything he does, everybody is jumping on it, trying to make it a negative story." [Paddy Power] #mufc
Ince: "I understand they have to have opinions - I've done both roles, I can see it from both sides - but they don't know what it's like to be in that situation as a manager." #mufc
Ince: "Pundits like Rio Ferdinand and Paul Scholes, the ones who keep having a go at Mourinho and United all the time, they've not managed, they've not had to make the big decisions." #mufc
I think we should appoint paul scholes to feel d hot seat a little
#MUFC
Ungesikia oooh Mourinho hawezi ku handle wachezaji vijana ndio maana anafanya vibaya. Kinachomponza Jose ni kutopata matokeo, akianza kupata matokeo hutasikia kashfa zinazomkabili (hili nimewahi kulisema huko nyuma)Angekuwa jose kaongea hayo kwa rashford angekiona cha motoView attachment 952080
labda sergio busquete peke yakeUngesikia oooh Mourinho hawezi ku handle wachezaji vijana ndio maana anafanya vibaya. Kinachomponza Jose ni kutopata matokeo, akianza kupata matokeo hutasikia kashfa zinazomkabili (hili nimewahi kulisema huko nyuma)
Huwa najiuliza hivi hata huyo Pep ni makinda gani aliowatoa wakawa ma super star, siwaoni
Afadhali yenu nyie angalau mpira wenu ulikuwa unatia tamaa japo kidogo... sisi kinachotuuma ni kuwa sasa ivi timu ikicheza na Derby county, basi Derby itaonekana madrid na MUFC itaonekana Mtibwa sugar tu.... Kuanzia bodi, kocha mpaka wachezaji wao ni pesa tu..... Na hizo hela wanazotaka kuumpa wanataka kuzipoteza tu. Mou saiv ajiunge na Babu Wenger wakapumzike tuHhhhh...vumilieni tu...mbona ss tulivumilia miaka 10...naona mashabiki ndo mnapiga kelele ila bodi ipo kimya na bado inamuamini...nasikia wanataka wampe tena hela asajili dirisha likifika...kwa sasa itabidi mfungwe tu hamna namna...