Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ingawa Man City wamefungwa lkn hawa jamaa niwazuri.Hongereni Man U ila mkajipane tena manake hiyo timu yenu bado haijakaa vizuri
 
Man City wamecheza mpira mzuri sana 2nd Half......Sema Refa hakuwa upande wao,kawaminya sana Man City...

Hongereni sana Man Utd

Mkuu sio hivyo bana mlitaka tu tusishinde hamna cha kuwaminya mbona siku ya United hakukuwa cha kuwaminya United ndio mpira huo
 
Eti man u wamebebwa, wacha nicheke mie heheheeeee. Lakini all in all wabebwe wasibebwe city are out.
 
Seconf half you wouldve said ma u walikuwa ndo wenye wachezaji kumi lol
 
Kompany atakosa mechi nne zinazokuja za ligi kuu. Kuna uwezekano wakapoteza points, kwani hakuna Yaya Toure , Kolo Toure na Kompany.
 
[h=1]City 2 United 3[/h]
United edged into the fourth round of the FA Cup after an enthralling, draining victory over holders Manchester City at the Etihad Stadium.
 
Eti man u wamebebwa, wacha nicheke mie heheheeeee. Lakini all in all wabebwe wasibebwe city are out.

Acha ngebe mkuu wamebebwa kivipi bana??huo ndio mpira mbona city walivyoshinda sita hamkusema kama wamebebwa??lakini tumewatoa
 
Man City wamecheza mpira mzuri sana 2nd Half......Sema Refa hakuwa upande wao,kawaminya sana Man City...

Hongereni sana Man Utd

Asante sana Mkuu. Yametokea makosa ya kibinadamu kwa upande wa Referee, bahati mbaya yametokea nyumbani kwa Man City na yamewagharimu!
 
Acha wapigwe tu,they are so bullish thinking that money can conquer anything,to the hell with their goddamn shitty arabic money.
 
Mkuu sio hivyo bana mlitaka tu tusishinde hamna cha kuwaminya mbona siku ya United hakukuwa cha kuwaminya United ndio mpira huo
Hata Red Card ya Kompany inaonekana Refa alikurupuka.....
 
Kompany atakosa mechi nne zinazokuja za ligi kuu. Kuna uwezekano wakapoteza points, kwani hakuna Yaya Toure , Kolo Toure na Kompany.

Wanaenda ku-appeal kadi hile mkuu na wana nafasi kubwa ya kufutiwa kadi hile. Refa alichemka.
 
People forget that Evans was also red carded in that 6-1 Man City win...This is soccer and unexpected things happen..People win people lose...Man United won today..Congrats United..
 
Mkuu sio hivyo bana mlitaka tu tusishinde hamna cha kuwaminya mbona siku ya United hakukuwa cha kuwaminya United ndio mpira huo
Nope.......Mimi nilitaka mshinde(sio kwa kubebwa), ndio maana hata kwenye post yangu ya kwanza hapa leo nimeandika 'Kila la heri Man Utd' na si 'Kila la heri Man City'
 
Hata Red Card ya Kompany inaonekana Refa alikurupuka.....

Haya mkuu nikusahihishe umeona mahojiano ya Mancini kuhusu hii Red Card umeona wamemuuliza amejibu nini??sisi wa mtaani ndio tunasema Red Card fatilia alafu tuambie amesemaje walivyomuuliza kuhusu hiyo Red Card
 
Achana nao mbona Wolfs walicheza nusu na kudraw? Tena kwa red card ya makasa hawasemi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…