Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Fellain nae anaanzaje![]()
Big Fella muhimu sana
Fellain nae anaanzaje![]()
Chief Fella aje wakat hata tumeshinda... Yule ni blocker by nature ndio maana wengi wanamuona ana spid ya konokonoBig Fella muhimu sana
Ngoja tuone chiefBig fella midfield kisheti
City watadominate sana midfield. Kikosi chetu kilichoanza chote hakuna mtu mwenye uwezo wa kupigwa pasi murua.Hii game ni ngumu sana kwetu tupate japo goli 2 city hawawezi kutufunga 3.
Hapo hata mimi naona kuna shida. Big Fela ni mzuri akitokea bench wakati watu wamechoka.Unamwachaje Mata nje, wakati Pogba hayupo. Naona Morinho kamiss kufungwa, ngojea atupe midomo wapinzani.
Kwann pogba hayupo?No pogba No party
MajeruhiKwann pogba hayupo?
Aah aisee huyu mtu muhimu sn sn alitakiwa awepo leoMajeruhi
Naamini Mungu na maselaAah aisee huyu mtu muhimu sn sn alitakiwa awepo leo