Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lingard bado yupo vizuri zaidi ya dogo Rashford

Movement zake uwanjani zinawapa space akina Sanchez et. al.

Lakini pia ni mchafuaji wa mipango ya mpinzani (kwa City ndio atafaa zaidi sababu wanaabudu kumiliki mpira)

Dogo Rashford anacheza vizuri akitokea sub. Halafu united huwa hawachezi vizuri siku Dogo Martial na Rash wakianza pamoja, kwanza wote wachoyo na utoto juu
Elewa kuna kitu kinaitwa Form mkuu..lingard kwa sasa bado hajarudi mchezoni.
 
Nimeeleza kiunaga ubaga kwamba kwenye winga ya kulia beki atakayetukaba probably ni Mendy..nikasema kuwa Mendy hana speed na ana poor marking,pia anapanda sana..so kwenye hiyo nafasi mtu mwenye speed atatufaa sana na ndo nikapendekeza kuwa Rashford acheze..

Mpira makocha wanaangalia udhaifu wa timu na namna ya kuutumia ili kupata matokeo na sio kucheza tu kimazoea mkuu..

Labda unachanganya form ya Martia na Rashford

Rashford kwa sasa ana form gani mkuu
 
Screenshot_2018-11-11 (1) Manchester United ( ManUtd) Twitter.png
 
Aaha, anything can happen
Sidhani,na hawa akina Liverpool na Chelsea wakishinda ndio watamtia kichaa kabisa.

Kwa hii trend yetu ya kutokea nyuma na kushinda,ikitokea wameanza kutufunga watalazimisha watufunge tatu za mapema.

Leo kazi ni nzito!
 
Sidhani,na hawa akina Liverpool na Chelsea wakishinda ndio watamtia kichaa kabisa.

Kwa hii trend yetu ya kutokea nyuma na kushinda,ikitokea wameanza kutufunga watalazimisha watufunge tatu za mapema.

Leo kazi ni nzito!


Mechi ngumu hii, ugumu wake unachagizwa na form ya City versus hustling ya MUFC

Na kumkosa Pogba ni pigo same kama wao walivyomkosa DeBruyne
 

Wanadai starting XI hii imevuja.

De Gea, Young, Smalling, Lindelof, Shaw, Matic, Herrera, Fellaini, Lingard, Martial, Sanchez.
 
Back
Top Bottom