Hahahahaha. Mkuu mgonjwa ndiyo anaamka kitandani hivyo.You got one thing right...nimefurahia goli la Mata.
Kocha wa Juve atakuwa anajuta kuchelewa kumweka Mandzukic. Dogo Cuadrado alishachoka long na machenga yake yasiyo na mantiki.
Kuhusu vyombo tulivyokodi nahisi tuviache tu hapa store maana weekend si mbali. Huyu mgonjwa bado tia maji tia maji.
Konk konk the morinyo.Nimekuja nakimbia uwiii nahemea juu juu tu!!!,huu umama kazi kweli embu nihadithieni nini kinaendelea mtaani huku nasikia tu Man United konk konk!!!!
Kama hiviiiiiii....@cute b amelala kwa sasa akiamka asubuhi atakutana na sherehe badala ya msiba.
Boss pole, hahhaha ukonk umetamalaki kwa MOUH... Ilipigwa comeback ya kihistoria... Na MOUH alivyojeuri akawapa ishara kuwa SIWASIKII as alikuwa anazomewa na mashabaki... Ronaldo nae anasahau UTD imemlea hadi kufika hapo alipo anatuoneshea 6 packsNimekuja nakimbia uwiii nahemea juu juu tu!!!,huu umama kazi kweli embu nihadithieni nini kinaendelea mtaani huku nasikia tu Man United konk konk!!!!
Jitahid kutunza kumbukumbu, usikurupukeMsije kifanya huo ujinga ukicheza na man city..
Yeye akianza kufunga anaendelea tu...
Ile haikuwa OG alistahili FellainiMkuu ukiona own goal ujue hali ilikuwa ni tete, mtu huwezi kuamua kujifunga tu
OG sawa,una maana kuwa mtu akijiuwa anakua hajafa?Hapana mkuu nimeyapata ..ni OG.!
Hiyo game ya 1998 nimeingia kibanda umiza dk 10 baada ya mpira kuanza, kuchungulia matokeo juve 2 mana u 0, ilikua bonge la mechi.Mechi tatu za mwisho za Manchester United dhidi ya Juventus Katika Dimba la Juventus.
2018 : Juventus 1-2 Manchester United
2003 : Juventus 0-3 Manchester United
1998 : Juventus 2-3 Manchester UnitedView attachment 925346View attachment 925347View attachment 925348
Nadhani ulikua dunia nyingine ileeeeJamani nihadithieni mwenzenu sielewi eti ndo Juve katoka au??? Msinicheke sikuwa duniani!!!
Nilivomskia Mou kwenye press conference yake akidai kuanzia sasa atabadili tactics zake na atakua anawaacha vijana wa possess mpira nikajua sasa tutaiona United tuliokua tumeimiss kwa mda mrefuHatari sana man u kwa hii style ya come inadhihirisha ubora wa mwalimu kimbinu
Nilivomskia Mou kwenye press conference yake akidai kuanzia sasa atabadili tactics zake na atakua anawaacha vijana wa possess mpira nikajua sasa tutaiona United tuliokua tumeimiss kwa mda mrefu
Nasikia kuna mgonjwa mwingine mahututi anaweza akaaga dunia wiki ijayo tukaona ni vyema kuunganisha msiba ili kupunguza gharama za kwenda na kurudi Haa ha, huyu mgonjwa nina uhakika lazima atafariki. Haiwezekani tuingie hasara ya maturubali na vyakula na majirani tumeshachangisha michangoKama hiviiiiiii....
Ila nataka kujua..mlirudi makwenu usiku ule ule auu?
Maana siyo namna mlivyojipanga na majembe ya kuchimba kaburi.
Mkuu maturubai yabaki kulekule naona mgonjwa kapata nafuu.Naona kama tutarudisha maturubai yetu Liverpool
Hehee.. Mbwembwe zishaanza sasa. Mnapiga makelelewalete man city
anko Fella is so dangerous when Young is on the pitchIle haikuwa OG alistahili Fellaini