Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa arsenal hakuchomoka

Leo ktk historia ndipo sir alex alianza kazi ya ukocha ndani ya manchester united

FB_IMG_1541515232754.jpeg
 
Best of luck MUFC, mechi ni ngumu sana, ushindi ni muhimu.
 
kama kuna mchezaji cmpendi man basi ni ashley young.....ila anabahat na kila kocha anaekuja...
 
kama kuna mchezaji cmpendi man basi ni ashley young.....ila anabahat na kila kocha anaekuja...


Huwa anajitahidi, sema comparatively na watu kama Marcos Alonso au Bellerin bado sana
 
Huwa anajitahidi, sema comparatively na watu kama Marcos Alonso au Bellerin bado sana

Kama mnakumbuka vizuri Young ni winga sio beki the same to Valencia hawa waguezwa kuwa mabeki lakini sio nafasi zao walizokuwa wanacheza walipokuja.
 
Wajua_kwamba.....

Andy Cole mchezaji wa zamani wa Manchester United na Newcastle United ndiye mchezaji wa kwanza katika ligi kuu Uingereza kufunga magoli matano katika mechi moja

Uhamisho wake uliovunja rekodi kutoka Newcastle, katikati ya msimu wa 1994/5 uliigharimu Manchester £ 6M + Keith Gillespie aliyethaminishwa kwa kiasi cha pauni milioni 1.

Cole aliweka rekodi kama mfungaji wa magoli mengi katika premier league 4.2.1995 Manchester ilipoishinda Ipswich Town

Wachezaji wengine waliobahatika kufikia rekodi ya Cole.(Alan Shearer,Jerman Defoe,Dimitar Berbatov na Sergio Kun Aguero)
 
Ngoja tuanze kuandaa maturubai ya watu kukalia msibani najua leo watu watakuwa wengi sana humu Ngoja tuandae na Maandazi kidogo ya watu kula
 
Back
Top Bottom