jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 531
Duh! Mapema hv
Kwani yupo?Anaejua pogba anacheza nini humu uwanjani naomba aniambie
Welldone
Nilisema huku matic kawa hovyo..na huyu smalling leo sijui anacheza nini..tunaitaji beki aisee,smalling bado,hajiamini kabisapoor performance bora kuwa na Lukaku uwanjani kuliko Smalling na Matic period
Na hilo goli ni off target??? Watu wengine bana, mnapenda kufanya maisha yako wengine yawe magumu tuYani watoto wamepiga mashuti 7 manne on target man u mashuti 2 na 0 on target