Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilisema huku matic kawa hovyo..na huyu smalling leo sijui anacheza nini..tunaitaji beki aisee,smalling bado,hajiamini kabisa
Kipenzi cha pili cha kocha.

Bora amtoe aingie Herrera, matic ni mzito hadi kutoa pasi.
 
Nilisema huku matic kawa hovyo..na huyu smalling leo sijui anacheza nini..tunaitaji beki aisee,smalling bado,hajiamini kabisa
huyu smalling sijawahi kumuelewa hata kwa bahati mbaya, matic anapooza game na kupoteza sana mipira

mechi zetu tatu za mwisho kipindi cha pili huwa wanachezaga vizuri lets see
 
😱
 
Attachments

  • Screenshot_20181103-162806.png
    Screenshot_20181103-162806.png
    64.4 KB · Views: 27
Magoli yenye nafuu ni hayo ya dakika za mwisho maana Man ikifunga mapema lazima isawazishiwe kizembe
 
Back
Top Bottom