hata Barca inafungwa kiufupi hakuna timu isiyofungwa mkuuHahaha, yaani mnadroo na Valencia kwenu, mnapigwa na Juve kwenu halafu unasema eti Barca tu ndo ya kuiogopa?
Man United siku hizi mnakuwa wa kuyabinya kila wakati mashambulizi yakija kwenuWalivyopata kona dakika ya mwisho nikajua yatakuwa yale yale
hata Barca inafungwa kiufupi hakuna timu isiyofungwa mkuu
Mi nimeongeza ya pili na liverpoolNakubali, lakini kwa kiwango alichonacho Man Utd ya sasa huwezi kusema eti wa kumwogopa Ulaya ni Barca pekee!
Hiyo ndo kauli ninayoikataa.
Sure mkuu.Tujialipue tu kuattack
Mi nimeongeza ya pili na liverpool
uliangalia hizi games against United??Nakubali, lakini kwa kiwango alichonacho Man Utd ya sasa huwezi kusema eti wa kumwogopa Ulaya ni Barca pekee!
Hiyo ndo kauli ninayoikataa.
Mpira ungekuwa hivyo basi hata chelsea ungemfunga wewe upo uefa yy yupo europaLiverpool kwa tactics za Mourinho sidhani kama mnahitaji kuiogopa, kiuhalisia Man Utd haiko kwenye ubora kwa EPL, na bado imestruggle UEFA vs Valencia na Juve, halafu uje useme eti ni Barca tu ndo wa kuwaogopa?
Hapo kuna teams kama Dortmund, PSG, Madrid (ingawa nao ni tia maji tia maji), Juventus.
Hapo sijazitaja teams za EPL.
Labda kama tunaongea kishabiki na si kimpira.
uliangalia hizi games against United??
Tottenham
Chelsea
Juventus......tulipoteza though, ila commitment ilikuaje??
United ya msimu huu ikikutana na timu ndogo ndo inakuwa kama zezeta ila si kwa wakubwa wenzao kama huamini suburi game ya City na Juve
Kufungwa kupo, sometimes ni incidental. Mechi ya Juve Man iliingia uwanjani na woga. Juve hata km ni wazuri si timu ya kuogopwa na Man U kiasi cha kuingia uwanjani na hofu na kucheza defensively. City kadhalika ni wazuri lakini hatupaswi kuingia uwanjani ukiwaogopa as if ni timu kuubwa!!Nakubali, lakini kwa kiwango alichonacho Man Utd ya sasa huwezi kusema eti wa kumwogopa Ulaya ni Barca pekee!
Hiyo ndo kauli ninayoikataa.
kwa jibu la sasa hapana, ila hili swali sidhani kama ni muda sahihi wa kuliulizaGame zote hizo nimeziangalia, labda niulize swali, kuna timu kubwa ambayo mmeifunga msimu huu?
Mpira ungekuwa hivyo basi hata chelsea ungemfunga wewe upo uefa yy yupo europa
True ile gemu ya Juve tulishindwa tu kujiamini..tungepata hata sare.Kufungwa kupo, sometimes ni incidental. Mechi ya Juve Man iliingia uwanjani na woga. Juve hata km ni wazuri si timu ya kuogopwa na Man U kiasi cha kuingia uwanjani na hofu na kucheza defensively. City kadhalika ni wazuri lakini hatupaswi kuingia uwanjani ukiwaogopa as if ni timu kuubwa!!
Kufungwa kupo, sometimes ni incidental. Mechi ya Juve Man iliingia uwanjani na woga. Juve hata km ni wazuri si timu ya kuogopwa na Man U kiasi cha kuingia uwanjani na hofu na kucheza defensively. City kadhalika ni wazuri lakini hatupaswi kuingia uwanjani ukiwaogopa as if ni timu kuubwa!!
kwa jibu la sasa hapana, ila hili swali sidhani kama ni muda sahihi wa kuliuliza
maybe...usiku mwema palProbably siyo muda sahihi, ila hii discussion imeibuka baada ya mdau mmoja kusema kwamba Man Utd inatakiwa kumwogopa Barca peke yake Ulaya.
Nadhani yeye yuko kwenye nafasi nzuri kunijibu.
maybe...usiku mwema pal