Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Narudia tena mfumo wa mourinho wengi wa wachezaji hawaupendi kwa sasa
Halafu vurugu zake na wachezaji wenye msaada ndio kinachomponza siku zote
 
Muda mwingine huwa namlaumu fergie kwa kuiacha timu ikiwa ishajichokea maana wengi wa players walikua over age....waliokuja chukua mikoba yake wanateseka tu... hebu ona wenger kaacha squad bado bichi kabisa unai anateleza tu
 
Unai anateleza kinoma 11 win in a row sio kitu kidogo..
 
Barua ya Fergie alimwandikia cantona wakati alipostaafu mwaka 1997...ukisoma kitabu cha Fergie (Leading) alikuwa anamkubali sana jamaa. Mou hawezi kuishi na wachezaji vzr kbs
 
M Mkuu nieleze kwa kifupi Sana. Ni bora kwa Sasa kocha awe Roy Keane Kukiko ule uharo unaojiita special 1
 
Sitaki kusoma habari za Chelsea tena jukwaani humu. Mnaochat hiyo kitu mnaniboa haja kubwa inaafadhali.

Wkt mkurugenz ni Peter Kenyon tulipata wachezaji, wkt wa huyu gaidi was hoolwood tunapata wachezaji wazur pia..lkn. ukocha na ukurugenzi man utd umapwaya kuliko timu ya kichakani
 
Wala siyo kidogo ni ndefu sana. Kikosi kile kina utoto mwingi sana
Kweli kabisa. Na hicho ndio chanzo cha ugomvi na kocha. Watu wamekazania tu kocha hana mbinu, kashindwa kumiliki dressing room, sijui wanataka awe anawachekea tu???

Sir. Alex mwenyewe mpaka alimtandika na kiatu Beckham.

Mou anasema, wachezaji wa opponent team wanawekeza 110% kila wanapokutana na Manu wakati wa kwetu wao 70% unategemea nini?? Mbona wakikaza wanapata matokeo mazuri??

Watamlaumu sana Mou lakini toka Sanchez katua mijitu imewekeza wivu na utoto badala ya kuangalia timu.
 
Muda mwingine huwa namlaumu fergie kwa kuiacha timu ikiwa ishajichokea maana wengi wa players walikua over age....waliokuja chukua mikoba yake wanateseka tu... hebu ona wenger kaacha squad bado bichi kabisa unai anateleza tu
Shida sio timu alioacha shida ni communication skill ya Mou ni mbovu sababu record yake iko wazi mfano niliwahi msikia ozil anamzungumzia mou wakati yuko Madrid, Chelsea same things now kwenu kiasi anadababisha anakua na poor focus kwenye kitu anachokihitaji
 
Hii ni nadharia sio fact Radika umekuaje?? Mtu anasema 'I think' bado unaitumia kama evidence kweli
 
Lukaku ni mchezaji anayeonekana kuchoka kuanzia mwili hadi akili mwanzo hadi mwisho wa kila mchezo tuliocheza msimu huu,ajabu ni kwamba weekend hii ataanza na kumaliza dakika zote. Ni kwanini José asifurushwe?
 
Liverpool alipofika final msimu wa jana hakuna aliyedhani.

Chelsea alipotwaa ubingwa wa uefa hakuna aliyedhani.
Napoli kuchukua uefa ni uongo tunza hii post utakuja kuniambia....napoli kwa juve tu hafurukuti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…