Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,987
Pale mbele huwa anakaa tu ndiyo maana anakua.mnene,yani hazunguki kabisa kutia hamshahamsha
Lukaku ni mchezaji anayeonekana kuchoka kuanzia mwili hadi akili mwanzo hadi mwisho wa kila mchezo tuliocheza msimu huu,ajabu ni kwamba weekend hii ataanza na kumaliza dakika zote. Ni kwanini José asifurushwe?

