eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Kikosi chenu nimekileta
Chelsea hii hata Alonso anakufunga
Nimejaribu kukuonesha kuwa katika timu ya Chelsea yeyote anaweza kukufunga😀😀😀😀
Kwa hiyo timu inamtegemea Alonso kwenye kushinda magoli?
Naona kikosi tayarView attachment 904672
Bila shaka umenielewa😀😀😀😀
Kwa hiyo timu inamtegemea Alonso kwenye kushinda magoli?
Mkiambiwa morinho sio kocha mnakataa..haya oneni ujinga tunaocheza..timu haina spirit kabisa!!
Kwa babu fergie tulikuwa tunapambana hatakama tunapoteza mechi..sasahivi timu imekaa kishogashoga..wanaogopaaa..wth!!