Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea threat ni kutoka kwa Hazard tu basi, nina uhakika Mourinho akiandaa plan za kumdhibiti basi! Umeshasahau jinsi Mou alivyomoutsmart Klopp kwenye mechi iliyochezwa Old traford msimu uliopita?

But all in all mechi ni ngumu !
Mourinho hawezi kuandaa mpango wa kumdhibiti Hazard tu Kwa hii Chelsea ya sasa kwasabu Hazard anazungukwa na wachezaji wengine wengi wenye madhala. Kitu cha Mou anapaswa kufanya Utd inabidi icheze kitimu yote.
 
Nani huyo mwenye madhara? Willian au? Au Kante ategemewe kufunga leo?
 
Si

Sibishi najua hatujawah kuwafunga darajan Toma 2012 pie bila mou kuwapiga Mara Mbili 2-0 na last match 2-1 mungekua hamjawah kufungwa na United ila mourinho ndy anawamudu.... Msitegemeee penalty badae lazma mkalishwe... Mkipona draw
Prediction
Chelsea 3
Man united 1
 
*Leaked United XI vs Chelsea*: De Gea, Young, Smalling, Lindelof, Shaw, Matic, Pogba, Martial, Rashford, Mata, Lukaku #mufc [MEN]
 
Sarri amedai MUFC kwenye suala la mchezaji mmoja mmoja ina wachezaji bora/wazuri lakini city wapo kitimu zaidi.

Leo kuna dalili ya mikeka kuchanika vibaya mno.
Sarri kama kawaida yake ..kuwajaza makocha ujuaji.
 
We mwenyewe unajua liverpool ni timu bora kwako ila unachoandika ni ushabiki tu suluhu liverpool aliyotoa na nyie ni sawa na kufungwa tu hata nyie hamjaamini matokeo yale ndo mana unamtaja klopp kwa kuwa ana timu bora nyie mnamchezaj mmoja tu wa kubadili matokeo liverpool wanafoward line nzur sana .
foward line ya liverpool hii butu? Mane Sallah na uyo Firmino au? hoa wanaeza kuwa bora mbele ya Mou lakini sio kwa Sarri mkuu.
 
Mwenye link ya huu mtanange wa watani wa jadi pale darajani anisaidie plz.
 
*Leaked United XI vs Chelsea*: De Gea, Young, Smalling, Lindelof, Shaw, Matic, Pogba, Martial, Rashford, Mata, Lukaku #mufc [MEN]

IMG_0625.JPG
 
#CFC XI to face #MUFC: Kepa, Azpilicueta, Rudiger, David Luiz, Alonso, Jorginho, Kante, Kovacic, Willian, Hazard, Morata
 
Back
Top Bottom