Manchester United (Red Devils) | Special Thread

alikuwaga anajua kusajili miaka hiyo sikuhizi anafanya figisu kwaw pep mwisho wachezaji anashindwa kuwatumia
Hao alisajili kwa kushirikiana na bodi ya chelsea ujue bodi ya chelsea huwa inatoa ushirikiano sana ndo mana kukutimua dakika sifur unapata kila utakacho wanaanza kukudai matokeo
yep inawezekana board ilimpa ushirikiano maana hata matokeo uwanjani yalikuwa yanaonekana
kwa msaada wa wikipedia na tovuti nyenginezo

2003–04 Chelsea F.C. season
manager : claudio rainieri
mmiliki wa klabu : roman abramovich msimu wake wa kwanza.
premier league : nafasi ya pili nyuma ya arsenal wasio shindika kwa alama 11.
champions league : nusu fainali wanafungwa na monaco magoli 5-3.
mfungaji bora: jimmy floyd hasselbaink magoli 18.
usajili
glen johnson = 6 million
geremi njitap = 7 million
wayne bridge = 7 million
damien duff = 17 million
joe cole = 6 million
hernan crespo = 17 million
claude makelele = 16 million
scott parker =10 million
2004–05 Chelsea F.C. season
manager: jose mourinho
mmiliki wa klabu : roman abramovich
premier league: bingwa
champions league : nusu final wanatolewa na liverpool.
mfungaji bora: frank lampard magoli 19
usajili
paul ferreira = 13 million
petr cech = 7 million
arjen robben = 13 million
mateja kezman =5 million
tiago = 10 million
didier drogba = 24 million
ricardo carvalho = 19 million​

2005–06 Chelsea F.C. season
manager: jose mourinho
mmiliki wa klabu : roman abramovich
premier league: bingwa
champions league : 16 bora wanatolewa na barcelona.
mfungaji bora : frank lampard magoli 20
usajili
michael essien = 24 million
asiel del horno = 8 million
wright phillips = 21 million
lassana diarra = 1 million​
2006–07 Chelsea F.C. season
manager: jose mourinho
mmiliki wa klabu : roman abramovich
premier league: nafasi ya 2 nyuma ya manchester united
champions league : nusa fainal wanatolewa na liverpool kwa penalty
mfungaji bora : didier drogba magoli 33.
usajili
michael ballack = free
salomon kalou = 10 million
shevchenko = 30 million
obi mikel = 4 million
ashley cole = 5 million + william gallas
khalid boulharouz = 8 million​
2007–08 Chelsea F.C. season
manager: jose mourinho / avram grant

champions league : fainal wanafungwa na manchester united
mfungaji bora : frank lampard magoli 20.
usajili
claudio pizarro = free
franco disanto = free
florent maalouda = 15 million
belletti = 4 million
anelka nicolas = 15 million
ivanovic = 10 million
  1. kwa uoni wangu hata kama ingelitokezea jose mourinho asingewasili chelsea naamini msimu wa 2004/2005 chelsea wangeliweza kupata mafanikio makubwa chini ya claudio ranieri kwa sababu alishajenga msingi mzuri kwenye klabu kwa kutumia nguvu ya roman abramovich. Nikisema mafanikio ya Jose Mourinho msimu wake wa kwanza ndani ya klabu ya chelsea yalichangiwa kwa kiwango kikubwa na claudio ranieri nitakuwa nimekosea?.
  2. Ukiachana na ubingwa wa ligi kuu kitu gani chengine kizuri alikifanya mourinho ambacho hakikufanywa na claudio ranieri kwenye msimu mmoja wa abramovich akiwa mmiliki wa klabu?Abramovich hakumtendea haki claudio ranieri kwa kitendo chake cha kumtimua msimu ambao arsenal walikuwa onfire, alipaswa ampe msimu mwengine wa uongozi wa klabu.
  3. kuhusu ishu ya usajili kipindi hicho roman abramovich ndiyo alikuwa anaitengeneza chelsea ya ushindani kwenye ulimwengu wa soka, tofauti na matajiri wengine kama yule wa Arsenal bwana roman aliitaka kwanza chelsea itakayokuwa na mafanikio ndani ya uwanja ndipo baadae yafuate mafanikio ya nje ya uwanja, ndio maana kiupande wake hakuona shida kutumia fedha mara kwa mara kwa sababu aliamini chelsea bado ni klabu ndogo barani ulaya. Hivyo basi aliamini ili chelsea iwe na nguvu kwenye masuala ya fedha wanapaswa kwanza wawe na timu bora ndani ya uwanja.
  4. Hata matajiri wa manchester city walipokuja mwanzoni walikuwa na spidi kubwa sana kwenye soko la usajili kwa sababu ile ile yenye kufanana na roman abramovich, hawakuona tabu kumuondoa mchezaji waliyemnunua kwa msimu mmoja ambaye hajaendana na matarajio ya klabu ndani ya uwanja.
  5. ninachokiona mimi tabia zile zile na ugonjwa ule ule aliokuwa nao chelsea wa kushindwa kuwatumia wachezaji alizokuwa nazo chelsea ndiyo analazimisha kuzileta tena ndani ya klabu ya manchester united, anchotaka yeye ni kuona anafanya usajili wa wachezaji na ikitokezea mchezaji ameshindwa kumfanya awe bora ndani ya msimu mmoja achukue maamuzi ya kumuondoa. rejea kuuzwa kwa wachezaji kama arjen robben, crespo, khalid boulharouz, asiel del horno, tiago, diarra, mateja kezman, shevchenko hao wote aliwanunua yeye klabuni chelsea na pia rejea kuuzwa kwa henrikh mkhitaryan.
  6. Anachosahau ni kwamba Manchester United msingi wake wa mafanikio ulijengwa miaka 26 iliopita tofauti na msingi wa mafanikio ya chelsea ambao ulianza kujengwa mwaka mmoja baada ya yeye kuwasili chelsea F.C, ndio maana kwa chelsea mwanzoni haikuwa tabu kwa tajiri kutoa fedha zake mfukoni kwa dhumuni la kufanya usajili na pia haikuwa tabu kwa tajiri kukubali maamuzi ya kuwaondoa baadhi ya wachezaji ambao wamesajiliwa kwa msimu mmoja licha ya kwamba alitumia gharama nyingi kuwaleta. Lakini tujiulize baada ya chelsea kuingia kwenye kundi la klabu kubwa duniani na pia kuanzishwa sheria ya financial fair play je bado wanaendeleza sera ya kutumia fedha nyingi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa utawala wa roman abramovich?
  7. soko la usajili pia limeharibika kipindi hiki ukilinganisha na soko la usajili la miaka iliopita, miaka 13 iliopita biashara ya usajili wa ricardo carvalho iligharimu paundi million 20 lakini leo hii biashara ya victor lindelof ni paund millioni 35, halafu ndio inatokezea unashindwa kumfanya awe bora baadae unaomba tena fedha ya usajili wa eneo lile lile ulilolipia pound 35 million. dah! kwa soko la sasa hivi tajiri hawezi kukuelewa na matokeo yake utahisi unaonewa.
1539866198822.png
 
Hapa nimekuelewa vizur sana mkuu hasa chimbuko la wapi ilipoanzia chelsea

Kumbe kwa namna moja au nyingine bodi yetu ipo sahihi.
 
Kwa sehemu kubwa umeeleza vema
 
Wewe kweli nanga, Mo alimsajiri acheze ila kila akicheza bora Nyoni wa azam,

Halafu unakimbilia kwa post ya starz kufungwa,

Au hujui starz alikula 3-0?
Sasa unashangaa et starz kushinda 2-0 ,wakat unajua fika starz kaotea, unajua fika tanzania mpira bado sana,

Tunarud palepale, Fred ni garasa ,na hii ni kutokana na mpira wenu mbovu na mou kudandia wachezaji asiojua jinsi ya kuwatumia,
Ulivyosema tu nyoni ni mchezaji wa Azam nimekudharau.
 
Acha ujinga mmepigwa na arsenal final zote za FA cup mlizokutana.Mmepigwa kwenye ligi kuu sasa unaposema game haina umuhimu what do you mean.
Final???? Ni zipi hizo ktk ligu kuu unamfunga united akiwa anapigania nafsi muhimu au akishida wa 6 afungwe wa 6? Kaangalie mwaka jana tulivyokuwa tunapigania nafasi ya pili tulimfanya nini?

Arsenal tukiwa tunahitaji jambo letu huwa hapinduwi hata wapangwe mabek watupu.
 
Mwache atapetape kama mfa maji msimu huu pia anagongwa nje ndani
 
Kesho naomba kikosi kiwe hivi

De gea

Dalot Smalling Lindelof shaw

Fred Pogba Matic

Lukaku Sanchez Martial

Lukaku asianze as no 9 please,atokee pembeni kulia atleast ataweza kuleta impact kwenye big game hii..Na kama sanchez hayupo vizuri ni bora acheze rashford as no 9
 
kwa msaada wa wikipedia na tovuti nyenginezo

2003–04 Chelsea F.C. season
manager : claudio rainieri
mmiliki wa klabu : roman abramovich msimu wake wa kwanza.
premier league : nafasi ya pili nyuma ya arsenal wasio shindika kwa alama 11.
champions league : nusu fainali wanafungwa na monaco magoli 5-3.
mfungaji bora: jimmy floyd hasselbaink magoli 18.
usajili
glen johnson = 6 million
geremi njitap = 7 million
wayne bridge = 7 million
damien duff = 17 million
joe cole = 6 million
hernan crespo = 17 million
claude makelele = 16 million
scott parker =10 million
2004–05 Chelsea F.C. season
manager: jose mourinho
mmiliki wa klabu : roman abramovich
premier league: bingwa
champions league : nusu final wanatolewa na liverpool.
mfungaji bora: frank lampard magoli 19
usajili
paul ferreira = 13 million
petr cech = 7 million
arjen robben = 13 million
mateja kezman =5 million
tiago = 10 million
didier drogba = 24 million
ricardo carvalho = 19 million​

2005–06 Chelsea F.C. season
manager: jose mourinho
mmiliki wa klabu : roman abramovich
premier league: bingwa
champions league : 16 bora wanatolewa na barcelona.
mfungaji bora : frank lampard magoli 20
usajili
michael essien = 24 million
asiel del horno = 8 million
wright phillips = 21 million
lassana diarra = 1 million​
2006–07 Chelsea F.C. season
manager: jose mourinho
mmiliki wa klabu : roman abramovich
premier league: nafasi ya 2 nyuma ya manchester united
champions league : nusa fainal wanatolewa na liverpool kwa penalty
mfungaji bora : didier drogba magoli 33.
usajili
michael ballack = free
salomon kalou = 10 million
shevchenko = 30 million
obi mikel = 4 million
ashley cole = 5 million + william gallas
khalid boulharouz = 8 million​
2007–08 Chelsea F.C. season
manager: jose mourinho / avram grant
mmiliki wa klabu : roman abramovich
premier league: nafasi ya 2 nyuma ya manchester united
champions league : fainal wanafungwa na manchester united
mfungaji bora : frank lampard magoli 20.
usajili
claudio pizarro = free
franco disanto = free
florent maalouda = 15 million
belletti = 4 million
anelka nicolas = 15 million
ivanovic = 10 million
  1. kwa uoni wangu hata kama ingelitokezea jose mourinho asingewasili chelsea naamini msimu wa 2004/2005 chelsea wangeliweza kupata mafanikio makubwa chini ya claudio ranieri kwa sababu alishajenga msingi mzuri kwenye klabu kwa kutumia nguvu ya roman abramovich. Nikisema mafanikio ya Jose Mourinho msimu wake wa kwanza ndani ya klabu ya chelsea yalichangiwa kwa kiwango kikubwa na claudio ranieri nitakuwa nimekosea?.
  2. Ukiachana na ubingwa wa ligi kuu kitu gani chengine kizuri alikifanya mourinho ambacho hakikufanywa na claudio ranieri kwenye msimu mmoja wa abramovich akiwa mmiliki wa klabu?Abramovich hakumtendea haki claudio ranieri kwa kitendo chake cha kumtimua msimu ambao arsenal walikuwa onfire, alipaswa ampe msimu mwengine wa uongozi wa klabu.
  3. kuhusu ishu ya usajili kipindi hicho roman abramovich ndiyo alikuwa anaitengeneza chelsea ya ushindani kwenye ulimwengu wa soka, tofauti na matajiri wengine kama yule wa Arsenal bwana roman aliitaka kwanza chelsea itakayokuwa na mafanikio ndani ya uwanja ndipo baadae yafuate mafanikio ya nje ya uwanja, ndio maana kiupande wake hakuona shida kutumia fedha mara kwa mara kwa sababu aliamini chelsea bado ni klabu ndogo barani ulaya. Hivyo basi aliamini ili chelsea iwe na nguvu kwenye masuala ya fedha wanapaswa kwanza wawe na timu bora ndani ya uwanja.
  4. Hata matajiri wa manchester city walipokuja mwanzoni walikuwa na spidi kubwa sana kwenye soko la usajili kwa sababu ile ile yenye kufanana na roman abramovich, hawakuona tabu kumuondoa mchezaji waliyemnunua kwa msimu mmoja ambaye hajaendana na matarajio ya klabu ndani ya uwanja.
  5. ninachokiona mimi tabia zile zile na ugonjwa ule ule aliokuwa nao chelsea wa kushindwa kuwatumia wachezaji alizokuwa nazo chelsea ndiyo analazimisha kuzileta tena ndani ya klabu ya manchester united, anchotaka yeye ni kuona anafanya usajili wa wachezaji na ikitokezea mchezaji ameshindwa kumfanya awe bora ndani ya msimu mmoja achukue maamuzi ya kumuondoa. rejea kuuzwa kwa wachezaji kama arjen robben, crespo, khalid boulharouz, asiel del horno, tiago, diarra, mateja kezman, shevchenko hao wote aliwanunua yeye klabuni chelsea na pia rejea kuuzwa kwa henrikh mkhitaryan.
  6. Anachosahau ni kwamba Manchester United msingi wake wa mafanikio ulijengwa miaka 26 iliopita tofauti na msingi wa mafanikio ya chelsea ambao ulianza kujengwa mwaka mmoja baada ya yeye kuwasili chelsea F.C, ndio maana kwa chelsea mwanzoni haikuwa tabu kwa tajiri kutoa fedha zake mfukoni kwa dhumuni la kufanya usajili na pia haikuwa tabu kwa tajiri kukubali maamuzi ya kuwaondoa baadhi ya wachezaji ambao wamesajiliwa kwa msimu mmoja licha ya kwamba alitumia gharama nyingi kuwaleta. Lakini tujiulize baada ya chelsea kuingia kwenye kundi la klabu kubwa duniani na pia kuanzishwa sheria ya financial fair play je bado wanaendeleza sera ya kutumia fedha nyingi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa utawala wa roman abramovich?
  7. soko la usajili pia limeharibika kipindi hiki ukilinganisha na soko la usajili la miaka iliopita, miaka 13 iliopita biashara ya usajili wa ricardo carvalho iligharimu paundi million 20 lakini leo hii biashara ya victor lindelof ni paund millioni 35, halafu ndio inatokezea unashindwa kumfanya awe bora baadae unaomba tena fedha ya usajili wa eneo lile lile ulilolipia pound 35 million. dah! kwa soko la sasa hivi tajiri hawezi kukuelewa na matokeo yake utahisi unaonewa.
Mkuu Damushin nadhani naweza kukupa nafasi ya sporting director ndani ya Manchester United, umeongea fact Kiowa mno na kutoa msisitizo wa kitu kinachogawanya mashabiki sahizi....kila mmoja anakosa ila inawezekana kocha anakosa kubwa zaidi kushindwa kuwatumia wachezaji aliowaleta mwenyewe
 
Back
Top Bottom