Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio maana nimekwambia wewe niite mtoto, ila usije shangaa mm pia ni babayako mdogo
Hata chid benz anaitwa baba mdogo umeona akili yake? Tayar akili yake ishaharibika najua wenger kawavuruga sana ndo mana mnapendwa hata kuitwa baba mdogo kuondoa stress za vichapo
 
Wewe ndio umeongea point, angalau una hoja

Yule mchezaj mou alikurupuka kama kwa sanchez ,wale walikuwa plan ya pep

Yeye mou kaona kufanya hivo ndio atashindana na pep kwenye ubingwa au atampunguzia kas,
Sasa ulikuwa unakataa nini kama vyakina toreira na gunduz vina subir kwa fred? Uwe unakuwa dogo
 
Hata chid benz anaitwa baba mdogo umeona akili yake? Tayar akili yake ishaharibika najua wenger kawavuruga sana ndo mana mnapendwa hata kuitwa baba mdogo kuondoa stress za vichapo
Chid benz mm simjui, wewe piga porojo, ila usije kushangaa unaambiwa uniheshimu kama baba yako mdogo, na nitakutuma dukan
 
Unajua hata mgonjwa wa ukimwi anatakiwa kujaaliwa hiyo itakuwa njia moja wapo ya kukunasua kutoka kwenye janga la msongo wa mawazo huwa hatumsemi vibaya mgonjwa ni mwiko
 
Wewe ndio umeongea point, angalau una hoja

Yule mchezaj mou alikurupuka kama kwa sanchez ,wale walikuwa plan ya pep

Yeye mou kaona kufanya hivo ndio atashindana na pep kwenye ubingwa au atampunguzia kas,
Fred hadi timu ya taifa anaitwa na ukimwita garasa sijui unakuwa unamaanisha nini wewe mlima chumvi??...
 
Anaitwa kukamilisha idadi ya wachezaji 23 , kombe la dunia ulimuona hata kucheza dk 1?

Sasa huyo ni mchezaj muhimu kweli? Tena kaja kakutana na mou ndio kawa bakayoko wa pili
 
Yes ni muhimu lakin. Na si kweli anaitwa kukamilisha idadi. Brazili ina wachezaji wrnvi mno.. wangeweza kuitwa wengine kwenye nafasi yake. Lakin kaitwa yeye

Hujui kuwa alipata injury??
 
Yes ni muhimu lakin. Na si kweli anaitwa kukamilisha idadi. Brazili ina wachezaji wrnvi mno.. wangeweza kuitwa wengine kwenye nafasi yake. Lakin kaitwa yeye
Huyu jamaa anaongea upuuzi tu..Fred ukimwangalia vizuri unaona potential iliyondani yake..i hope ataendelea kuizoea ligi na ataseattle
 
Injury then aitwe, ? Injury alipata na akapona ndio maana alisafir had urusi,

Kubali yule mchezaj pep ndio anajua angemtumia vip au ambadilishe vipi acheze, Mou akakurupuka kuharibu dili kama alivyofanya kwa sanchez mwisho wanageuka magarasa wakutupwa, .
Kwa comment hii bado unasema Fred ni galasa
 
Injury then aitwe, ? Injury alipata na akapona ndio maana alisafir had urusi,

Kubali yule mchezaj pep ndio anajua angemtumia vip au ambadilishe vipi acheze, Mou akakurupuka kuharibu dili kama alivyofanya kwa sanchez mwisho wanageuka magarasa wakutupwa, .
Kwahiyo point yako ni ipi??...(A)fred ni garasa ila kwa pep angecheza vizuri

(B)fred ana uwezo mourinho ndo anayemuaribu

(C)all the above
 
Point yangu ni hii Fred amekuwa garasa sababu ya mou,

Jibu ni B

Nadhani umenielewa
 
Back
Top Bottom