radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Fact jana kocha wa france bila kumtupa matuid katikati aendeshe kiungo kipind cha pili na kante wangepigwa lakin kwetu akifanyiwa hivyo zinaanza lawama alitupwa pembeni kusaidina na pavardMkuu Pogba ni moja kati ya wachezaji weak zaidi mentally mimi kuwahi kuwaona, na kwa bahati mbaya sana akakutana na most less professional agent in raiola.
Sielewi huko barca anaenda ku shine vipi bila nidhamu ndani na nje ya uwanja. Yataishia kuwa yale yale tu, game moja ama mbili safi sana then game 3 mbovu...circle inajirudia hivyo hivyo mpaka umri unamtupa mkono.
Ukimuuliza yeye anaamini bado ni mdogo. Hajui kwenye soka huu umri alio nao tayari anatakiwa awe matured decisive player.
Anyways, muda utaongea. Wacha tusubiri tuone huyu bwana Labile atafanyaje akitua Barca
Matuid atatupa shida sana champions league jana nimemuona daaa na wale viungo wa juve walivyo wagumu tuna kazi ya kufanya kwa kweli.