Nyinnyi Washabiki Wa Chelsea Mulioanza Kupenda Mpira 2010 miaka 5 baada Ya Kuanzishwa Timu Yenu Huwa Mambo Mengi Hamujui Lakimi Kuuliza tu Hamutaki!!!!
View attachment 900093
Ukiangalia Hapo Juu utaona Lucasz Fabianski amefanya Saves Nyingi (36) kuliko Kipa wowote Yule Wa EPL msimu huu Wa 2018/19.. Sasa hapo tunaweza kusema Kuwa
Fabianski Ni Kipa Bora au?
Hizi Stats zinawamisleading vibaya watu wengi...
Na Kikubwa Ni Kwamba Munacopy tu na Kupaste lakini Hamujui Zinavyokokotolewa!!
• Hivi Kipa Aliyepigiwa Mashuti 150 na Akafanya Saves 40, Na Kipa aliyepigiwa Mashuti 52 akafanya Saves 26 yupi Kipa bora hapo Kati ya Mwenye Saves 40 au 26?
Hapo ndiyo wengi Munaogloogle States Munaingia Chaka Mukamuona De Gea Mbovu...
Yani Umepata Wapi Ujasiri Wa Kumlinganisha Kepa na Court Kwa Kusema eti Kepa amefanya Saves 99 wakati Court ana Saves 76?
• Hebu Kakokotoe ujue hizo Saves 99 amezipata Kwenye Mshuti Mangapi? Then njoo na Ngonjera Zako hapa.
Usijeshangaa Kuwa Hizo Saves 99 kazifanya Kwenye Mashuti 300 aliyokumbana nayo, Na Court Kafanya Saves 76 Kwenye Mashuti 120.
Lamme Cut it Short! "You are right"