Sijui kama wapo level moja ya hazard na kdb we mwenyewe unajuaLeo umeongea cha maana sana. Swali je?
Sanchez
Pogba
Hererra
Fred
nao ni wachezaji wa kawaida hadi Lukaku anaonekana sio Striker?
Kuna lukaku wa ubelgiji na wa manchester uinted ile yule wa ubelgij anacheza na watu waliotimia kisoka haachi kufunga tukisema timu yetu ya kawaida watu wanakataa tunaamin lingard anaweza kmfanya lukaku afunge magoli kisha tunamponda sana kwamba sio striker
PointKiujumla belgiumwanacheza kitimu zaidi ndio maana lukaku nae anaonekana striker hatari
Ila man united haichezi kitimu ndio maana lukaku anaonekana hana msaada
Point sana mkuu,Kiujumla belgiumwanacheza kitimu zaidi ndio maana lukaku nae anaonekana striker hatari
Ila man united haichezi kitimu ndio maana lukaku anaonekana hana msaada
Katika wachezaj aliowataja ni pogba tu kiungo ambae anaweza kumfanya lukaku afunge likin nae toka atoke juve hajawa kwenye kiwango chake tunaweza kusema ni kocha na mbinu zake lakin hazard kachukua tuzo ya mchezaj bora wa england chini ya mourinho mchezaj mzur hujifich ndo mana wakina rooney walinunuliwa toka everton kwa kuwa walijipambanua kama watu wenye mpira wao mchezaj mzur hajifich hata kocha awe mbovuPogba kiungo mkabaji
Herera kiungo mkabaji
Sanchez anataka Kufunga mwenyewe
Fred bado haielewi man united
Kiujumla belgiumwanacheza kitimu zaidi ndio maana lukaku nae anaonekana striker hatari
Ila man united haichezi kitimu ndio maana lukaku anaonekana hana msaada
Umeniuliza swali gumu ila rahisi sana kulijibuok inawezekana pengine upo sahihi kiupande fulani ya kwamba klabu ya manchester united hawachezi kitimu ndio maana lukaku romelu anaonekana ni mshambuliaji wa kawaida kwenye ulimwengu wa soka la klabu.
je chesea fc hawachezi kitimu?
mbona alvaro morata ana takwimu mbovu za ufungaji?
inawezekana pia upo sahihi kama ulivyoeleza hapo juu ya kwamba paul pogba, ander herrera na matic nemanja wote wanaishia kuwa wakabaji ndio maana romelu lukaku anashindwa kupata huduma za kutosha vipi kuhusiana na alvaro morata ambaye anacheza na mafundi kama eden hazard, willian, pedro, fabregas, jorginho mbona takwimu zake nayeye haziridhishi?
View attachment 896596
jawabu ameshalijibu Darmian hapo juu ya kwamba jamaa sio top striker mwenye uchu wa kuzitumia nafasi anazozipata.
inafika nyakati unatamani muda urudi tena nyuma upate kuwashuhudia wanaadamu kama hasselbaink, nistelrooy, henry, owen, robbie fowler n.k
Mfumo wa Belgium na wa Morinho ni sawa?Kuna lukaku wa ubelgiji na wa manchester uinted ile yule wa ubelgij anacheza na watu waliotimia kisoka haachi kufunga tukisema timu yetu ya kawaida watu wanakataa tunaamin lingard anaweza kmfanya lukaku afunge magoli kisha tunamponda sana kwamba sio striker
Hivi sisi tuna wachezaj wa kuingia ktk kikosi cha madrid bila shida?Mfumo wa Belgium na wa Morinho ni sawa?
Wachezaji wanaonekana average kwasababu ya mfumo.
Ni ngumu kufanikiwa kwa Club km United. Clubs za AJAX, MONACO, PSV, LISBON, zinafanya biashara ya wachezani km moja ya malengo yao. United inahitaji matokeo.Yaan.. uwendawazimu.. huyo mzee wanini hvi ssa???
Mourhno kaishiwa atoke tu hapoo.. kocha wa Monaco anatufaa coz anajua ku deal n vjna
Fred watu ndo tusiyomwelewa lakini huyu dogo ni mzuri mno. Tujipe muda, tutaona.Pogba kiungo mkabaji
Herera kiungo mkabaji
Sanchez anataka Kufunga mwenyewe
Fred bado haielewi man united
Hivi sisi tuna wachezaj wa kuingia ktk kikosi cha madrid bila shida?
Mkuu radika kwani Man ina wachezaji wabovu kiasi gani mpaka Useme hawawezi kucheza Madrid?
Sanchez mbovu? Si Man City walikua wanamtaka kabla hamjachukua?
Pogba mbovu? Si Barcelona wanamtaka? Na ametoka world cup akiwa na kiwango cha juu.
Matic mbovu? Si alitoka Chelsea akiwa kiungo bora Mkabaji akaisaidia na kubeba kombe?
De Gea? Sina la kuongea...
Lukaku Mbovu? Hivi sokoni siku hizi kuna Striker gani wa maana sana wa kumzidi Lukaku?
Hivi unajua mna beki namba 2 anaitwa Darmian ni bonge la beki Ila hachezi..Pia nilikuambia kazi ya kocha ni kuwafanya Average players kuwa wazuri zaidi nikakupa mfano wa Klopp alivyowafanya akina Gomez kuwa top defenders
Mkuu unatambua kama bale alikuwa hana namba? Tuanzie hapoMkuu radika kwani Man ina wachezaji wabovu kiasi gani mpaka Useme hawawezi kucheza Madrid?
Sanchez mbovu? Si Man City walikua wanamtaka kabla hamjachukua?
Pogba mbovu? Si Barcelona wanamtaka? Na ametoka world cup akiwa na kiwango cha juu.
Matic mbovu? Si alitoka Chelsea akiwa kiungo bora Mkabaji akaisaidia na kubeba kombe?
De Gea? Sina la kuongea...
Lukaku Mbovu? Hivi sokoni siku hizi kuna Striker gani wa maana sana wa kumzidi Lukaku?
Hivi unajua mna beki namba 2 anaitwa Darmian ni bonge la beki Ila hachezi..Pia nilikuambia kazi ya kocha ni kuwafanya Average players kuwa wazuri zaidi nikakupa mfano wa Klopp alivyowafanya akina Gomez kuwa top defenders
Hahahaha hapana de gea peke yake anacheza timu yoyote top 6 na hata madrid ile wengine hamna mkuu simtetei kochaRadika akianza kumtetea Mou anakuwa kipofu kabisa,anaweza kukuaminisha hata De Gea ni kipa mbovu.
Umeniuliza swali gumu ila rahisi sana kulijibu
Morata anakosa kujiamini sijui ni nini kinamsumbua siku akijiamini vya kutosha mbele ya lango basi atafunga goli nyingi sana maana anakosa goli nyingi sana za Kufunga akiwa yeye na goalkiper
mkuu ahsante kwa majibu yako yenye kujitosheleza ila kupitia majibu yako nimebaki najiuliza swali ambalo mpaka muda huu sijapata majibu sahihi kupitia maarifa yangu madogo nilionayoTatizo pale man united mnamtengenezea nafasi ngapi usikute ni za kuhesabu halafu unataka akufungie goli za kutosha
Mfano jana na belgium lukaku alitengenezewa nafasi 5 tu na akafunga 2
Sasa morata yeye anatengenezewa hata 10 na hatumii hata moja hili ni tatizo la kutokujiamini mbele ya lango
Cha kufurahisha ni kwamba hata morata analijua tatizo lake
Kuna match ya europa league alikosa sana magoli akaja Kufunga akaanza kulia