Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Hata kama ungelikuwa kocha wewe huwezi kuruhusu kipaji kikubwa vile kiondoke.Matteo Damian mbona alisema wazi anataka kuondoka Man United ila Mourinho akambakiza kwa lazima na ndio maana jamaa hachezi juve, inter, fiorentina zilikuwa zinamhitaji
Mbona fergie alimbania Rooney kuondoka OT ?