Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie mnaomsupport morinyo tunawasubiri tu siku mtakuja kumtolea mapovu humu..morinho sio kocha..huo ndo ukweli
 
Daaa bora yangu mou na yang utd xo kw huyu monaco wa sasa
Screenshot_20181007-203508.jpeg
 
we
Wote ni mashabiki na tuna uhuru wa kuchagua na kuamua..huwezi kwenda hovyohovyo kama ling'ombe eti kisa unawafuata wazungu..huo ni upopoma..morinho aondoke united!!
Wenzenu wanaonunua ticket team imefungwa mbili wanamuimba morinyo mpaka kawasisitiza wawaimbe wachezaji kuwatia moyo hapa ndipo naona tofauti ya washabiki na wanachama
 
Sijakurupuka nimekucrush wewe uliaayetumia hizo takwim kumsupport morinho..Ukiwaweka hao watatu hapo maana yake umecompare uwezo wao..na ndo nikakwambia ni upuuzi kumlinganisha fergie na huyu jamaa
Kwa hiyo mimi ndio sky sports? Huoni hata watu waliotoa hizo takwimu mimi nazitoa wapi? Nimezitoa sky nimeziweka hapa sasa nashangaa unanimbia kunicrush wakati hivyo vitu vipo ndani ya timu yetu wataalam wamezitoa yani hapo ni sawa na kubishana na ukweli ipo hivyo yani ktk baadhi ya makocha waliopita ndani ta timu yetu huo ndio wastani wa ushindi kwa kila kocha sio mimi ni wataalam wa mpira huko ulaya wa hizo data ina maana zipo hadi ktk vitabu vya hii timu hunibishii mimi unawabishia sky ukisema mimi unanibishia nakushangaa soma chanzo cha habar
 
Nyie mnaomsupport morinyo tunawasubiri tu siku mtakuja kumtolea mapovu humu..morinho sio kocha..huo ndo ukweli
Kuna vitu watu mnapost bila hata kufikiria ipo hivi nikufafanulie kwa faida yako na wenzeko wanaofikiria kumpa kampani kocha ni kosa hupaswi kukosoa au kumpa sapot ajae kwamba tunataka mourinho asitoke hapana mpo wrong sababu za kumtoa kocha hazina mashiko hata akitoka bado kwetu fresh kwa kuwa sisi ni manchester united sio mourinho united tunafaham mourinho anasoka bovu tena sana halipo katika tamaduni zetu jiulize kwa nini alipewa timu? Ina maana walitegemea atakuwa pep au klopp? Kapita madrid alitolewa kwa soka lake

Hapa tunasapot timu sio kocha hata kama ukisema humpend kocha ipi nguvu yako ya kumfukuza? Unajitesa bure shangilia timu yako kocha tumefukuza makoch wawili nini tumeambulia?

Soma hilo bango lilikuwepo uwanjani kwa nini? Ni baada ya watu wenye akili kuona bodi inafanya mambo ya kipuuzi kumpa mtu timu ambae si muumini wa soka letu kisha unakuja kumdhalilisha ni kitu kibaya bodi ndio inatakiwa kuvunjiliwa mbali

Angalia arsenal na barcelona wanavyotulia kulinda utamaduni wa mpira wao safi sana zile bao 5 arsenal kashinda sio bahat mbaya hapana katembea na njia za mzee wenger hajapata shida ya mfumo

Siwezi kuichukia timu na kocha wakati wapo wajinga fulani wanafanya maamuzi ya kutesa mashabiki hebu tuone chanzo kwanza kabla ya kumfikia mourinho

Kabla ya mourinho kulikuwa na makocha wazur tu washambuliaji

Walijua van gaal wanamfukuza kwa nini walifanya maamuzi ya kumpa timu mkabaji?

Nilisoma habar za arsenal walivyohangiaka kutafuta kocha wa mfumo wao walimpa arsene wenger muda na yeye walimshirikisha kutafuta mtu wa soka lao hata ufukuzwaji wake ulikuwa na muda sio kama sisi

Manchester city toka ianzishwe na mwekezaj wake 2008 wapo kwenye utamaduni wa soka lao ila sisi tumekuwa watu wa kujaribujaribu tunafeli tunataka makocha watoke halafu wakitoka wanakurupuka tena kutafuta kocha kisha tunananasa sehem mbaya hatupigi hatua hapo

Mimi hata aje kocha gani nitamsuport kama mourinho tu siwezi kulialia na kuponda timu na kocha ila wakicheza vibaya ntasema wakicheza vizur ntasema ndio ushabik ulivyo

Sina mentality ya kumeza kitu kimoja hicho hicho kwamba et lazima kocha atoke what for?

Screenshot_20181007-073522.jpeg
 
Spirit ya wachezaji iko chin kidogo,,,,Jana nmeona baada ya mpira wa man city kuisha nilimuona pep amekuja uwanjani kuwapongeza wachezaji wake ,ila kocha wetu sijawah kumuona akifanya hivyo
 
Gary Neville has hit back at suggestions that Manchester United boss Jose Mourinho is ‘finished’ as a manager.

Many have accused Mourinho of falling behind and losing pace with modern managers and Neville remembers similar criticisms being thrown at Sir Alex Ferguson.

‘Jose is a serial winner, and I don’t buy into this theory that he’s finished, that he’s a manager of yesterday,’ Neville added.

‘I heard that from 2003 to 2006 about Sir Alex Ferguson when Arsene Wenger and Rafa Benitez and Jose Mourinho first came to England.

‘There were suggestions that it was the end of Sir Alex, but he needed to build a new team, and Jose needs time to work it out.

‘I hope the club can back Jose with the players he wants in January, and the players he doesn’t want. That’s the key thing. I’ve got the feeling in the last few months that the club have retreated a little bit on him in the transfer market, but maybe even retreated on him in terms of the players he doesn’t want.

‘I feel there’s maybe a tug-of-war (between Mourinho and the board) and that needs to stop.’
 
Spirit ya wachezaji iko chin kidogo,,,,Jana nmeona baada ya mpira wa man city kuisha nilimuona pep amekuja uwanjani kuwapongeza wachezaji wake ,ila kocha wetu sijawah kumuona akifanya hivyo
Alifanya ivo mechi na spurs tulipigwa chuma 3

Screenshot_20181008-112241.jpeg
 
Gary Neville has hit back at suggestions that Manchester United boss Jose Mourinho is ‘finished’ as a manager.

Many have accused Mourinho of falling behind and losing pace with modern managers and Neville remembers similar criticisms being thrown at Sir Alex Ferguson.

‘Jose is a serial winner, and I don’t buy into this theory that he’s finished, that he’s a manager of yesterday,’ Neville added.

‘I heard that from 2003 to 2006 about Sir Alex Ferguson when Arsene Wenger and Rafa Benitez and Jose Mourinho first came to England.

‘There were suggestions that it was the end of Sir Alex, but he needed to build a new team, and Jose needs time to work it out.

‘I hope the club can back Jose with the players he wants in January, and the players he doesn’t want. That’s the key thing. I’ve got the feeling in the last few months that the club have retreated a little bit on him in the transfer market, but maybe even retreated on him in terms of the players he doesn’t want.

‘I feel there’s maybe a tug-of-war (between Mourinho and the board) and that needs to stop.’
Huyu jamaa kabadilisha gia angani gafla. Lakini ni km maneno yake yana mantiki.
 
What Paul Pogba told Jose Mourinho at half-time to inspire stunning Newcastle United comeback

At half-time, Mourinho asked his players what was going wrong and Pogba told him he should drop deeper and Marouane Fellaini should be brought on, according to The Sun.

Mourinho proceeded to replace Scott McTominay with Fellaini, while Pogba was asked to sit in front of United’s defence which now included midfielder Nemanja Matic.

Pogba began to impose himself on the Premier League fixture and United scored three goals in 20 minutes to beat Newcastle and potentially save Mourinho his job.

After the 3-2 victory, Mourinho said: ‘During half-time we opened our hearts and we spoke about tactical changes for two minutes.

‘Then we spoke for eight minutes about other things that I thought would let the players be a little bit more free to face the second half and it became 3-2. Amazing.’
 
Machester United watahitajika kumlipa Mourinho pauni milioni 29 ikiwa watamfuta meneja huyo mwenye maiaka 29 lakini kiwango hicho kitashuka hadi paunia milioni 10 ikiwa atamaliza msimu na United washindwe kumaliza katika nafasi za Ligi ya Mabingwa. (Mirror)
 
Wakuu wa Manchester United wamemshauri Zinedine Zidane kutotafuta umeneja kwingine wakati wakiamua hatma yake Jose Mourinho. (Mirror)
 
Mashabiki wa United walipigwa picha na bango la picha ya meneja wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zinade, 46 nje ya Old Trafford kabla ya ushindi wa siku ya Jumamosi dhidi ya Newcastle. (Eurosport)
 
Mourinho alifichua kuwa alipokea ujumbe wa imani naye kutoka bodi ya Manchester United kabla ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle. (Times - subscription required)
 
Manchester United wamemuambia Paul Pogba kuwa hatauzwa mwezi Januari licha ya mfaransa huyo wa maiak 25 kuripotiwa kuwa na nia ya kujiunga na Barcelona baada ya wao kuonyeha nia ya kumsaini. (Mail)
 
Back
Top Bottom