Eti Mourinho sio kocha, ila analindwa na historia yakeNarudia tena Maneno yangu. Mou sio kocha. Ni mtu ambae anawekwa kwa sababu ya history yake katika soka ila sio uwezo wake Wa sasa katika soka.
Hebu cheki game plan yake aliyoingia nayo Jana kabla ya kufanya sub tatu. Katika starting eleven yake aliweka wachezaji 6 nyuma. Yaani united ipo old Trafford tena ikicheza vs Newcastle unaweka nyuma wachezaji 6. Huu ni upuuzi ambao hata Kocha Wa Jkt Ruvu ya Masau Bwire hawezi ufanya ukienda pale uwanja Wa Mabatini "Mlandizi"
Game approach ya kocha ni njia kubwa ya kutafsiri uwezo Wa kocha. Jana kama ingekuwa si uzembe na upuuzi Wa Newcastle tungekuwa tunasema mengine.
View attachment 889111
Kuna wachezaji hawakustahili kuwepo ktk timu msimu huu
1: Victor Lindelof
Huyu hata hakustahili kuvaa jezi kabisa, msindikizaji na muokota mipira. Game nyingi sana amekuwa uchochoro na hajaonesha kuimarika hata kidogo licha ya kupewa nafasi mara nyingi mbele ya wachezaji bora eg Baily.
Kumuuza Blind na kumbakiza Lindelof ni sawa na kuuza simu na line ili ununue vocha (Blind alikuwa mzuri ijapokuwa namba wanazocheza ni tofauti ila uwezo wake upo juu sana)
2: Chriss Smalling & Phil Jones
Hawa majeruhi yamekuwa yakiwaandama sana na kuja kuwa fiti inawachukua muda kurudi ktk viwango vyao. Smalling ni mzito sana na Jones naye vilevile ni mzito na ana maamuzi mabaya na huwa anachelewa kufanya maamuzi akiwa beki wa mwisho. Anatumia nguvu sana kuliko akili kiasi kuwa sometimes hata marefarii wamekariri na huwa anaambulia kusababisha penati na kupata kadi nyekundu.
3: Marcos Rojo
Huyu jamaa anapambana sana ila naye ni spana mkononi i.e. trip moja shamba, moja garage.
Kwa kipindi kirefu tokea amesajiliwa ameshindwa kucheza zaidi ya game 3-5 mfululizo bila kupata majeraha ambayo yatamuweka nje miezi 3 au zaidi. Ni ukuta imara ila afya yake inakwamisha. Huwezi kusema unamtegemea mchezaji ambaye anacheza mechi chache ndani ya mwezi na kukaa nje miezi 2 na zaidi.
4:
Baily jana kavurunda sana magoli yote mawili ni uzembe wao pamoja na youngKuna wachezaji hawakustahili kuwepo ktk timu msimu huu
1: Victor Lindelof
Huyu hata hakustahili kuvaa jezi kabisa, msindikizaji na muokota mipira. Game nyingi sana amekuwa uchochoro na hajaonesha kuimarika hata kidogo licha ya kupewa nafasi mara nyingi mbele ya wachezaji bora eg Baily.
Kumuuza Blind na kumbakiza Lindelof ni sawa na kuuza simu na line ili ununue vocha (Blind alikuwa mzuri ijapokuwa namba wanazocheza ni tofauti ila uwezo wake upo juu sana)
2: Chriss Smalling & Phil Jones
Hawa majeruhi yamekuwa yakiwaandama sana na kuja kuwa fiti inawachukua muda kurudi ktk viwango vyao. Smalling ni mzito sana na Jones naye vilevile ni mzito na ana maamuzi mabaya na huwa anachelewa kufanya maamuzi akiwa beki wa mwisho. Anatumia nguvu sana kuliko akili kiasi kuwa sometimes hata marefarii wamekariri na huwa anaambulia kusababisha penati na kupata kadi nyekundu.
3: Marcos Rojo
Huyu jamaa anapambana sana ila naye ni spana mkononi i.e. trip moja shamba, moja garage.
Kwa kipindi kirefu tokea amesajiliwa ameshindwa kucheza zaidi ya game 3-5 mfululizo bila kupata majeraha ambayo yatamuweka nje miezi 3 au zaidi. Ni ukuta imara ila afya yake inakwamisha. Huwezi kusema unamtegemea mchezaji ambaye anacheza mechi chache ndani ya mwezi na kukaa nje miezi 2 na zaidi.
4:

Nikweli kabisa baada ya mata kuingia mpira ulibadilika kabisaSijui nini cha maana kilifanyika hadi timu ikacheza vile kipindi cha pili,lakini nakiri kwamba ndio aina ya mpira ambao mashabiki wote tumekuwa tukitaka timu icheze. Sio entertaining football wala defensive but ATTACKING!
Kwa mtizamo wangu,achilia mbali goli la kwanza lililotufufulia matumaini,mata amekuwa na uchezaji mzuri kwenye namba 10 kuliko pogba maana timu inakuwa laini zaidi akiwepo yeye. Kweli jamaa ni underrated kuliko tunavyodhani.
Sidhani km ana bifu na Rashfold. Mazingira km tuliyokuwa nayo kila mmoja anakuwa amevurugika!! Hilo linaelewekaLeo kakazia bifu kwa dogo Rashford hata handshake hamna. What a manager!!! Ridiculous. Aondoke kabisa chizi yule
Hali hiyo ipo sana mkuu. Kuna wachezaji wamenunuliwa na vilabu vikubwa lakini wakashindwa kudeliver. Kuna wakati mchezaji anashindwa ku-adapt kwenye timu. Angalia Jemes Rod pale Madrid, Angalia alivyokuwa Mario huko Bayern na sasa Juve. Timu zilimkimbia Mpape na Griezman si kwa sbbu ya bei bali hofu kuwa wanaweza kushindwa ku-adapt.Huyo kocha kasajili mabeki watatu wote wabovu anataka wengeni. Kasajili viungo watatu lakini wote anashindwa kuwatumia. Kasajili washambuliaji wawili lakini bado analialia. Tabia yake na ufundishaji wakendio unamuangusha. Mechi imeisha na wachezaji wamejituma ata kwenda kuwapongeza huyo anakimbilia vyumbani anawaacha wachezaji kama awajafanya la maana.
Hii nakataa, kuna weupe kibao hawamtaki mou,Mashabiki wa man u jf ndio wanaotaka special one aondoke ila mashabiki wa man u theater of dream wanataka Ed awe responsible. Naendelea kuona tofauti ya mweupe na mweisi
Nyie watu hamwangalii tatizo la fullbacks na finishing. Tukifungwa lakini nasi tukafunga, si mbaya. Defensive problems imehamisha concentration kutoka kwenye attack. Timu nzima inacheza ku-compliment defense.Baily jana kavurunda sana magoli yote mawili ni uzembe wao pamoja na young![]()
Nadhani unaukumbuka ile Post yangu niliyikwambia Kuwa Jana utafeli na Leo pia utafeli?
Eti Mourinho sio kocha, ila analindwa na historia yake
Hiyo historia ilishushwa na Roho Mtakatifu au aliijenga yeye kwa uwezo wake?
Uliona ni uzembe wa wale madogo tu.
Anyway, tuone leo.
Ukute uko namtumbo huko kijijini unalinda shamba la bibi yako. Shemeji yako kaja na tecno umemkwapua na umeingia jamii forum kuchangia mada bila kujua kipi ni kipi.Eti Mourinho sio kocha, ila analindwa na historia yake
Hiyo historia ilishushwa na Roho Mtakatifu au aliijenga yeye kwa uwezo wake?
Mkuu hapa unaharisha au?Ukute uko namtumbo huko kijijini unalinda shamba la bibi yako. Shemeji yako kaja na tecno umemkwapua na umeingia jamii forum kuchangia mada bila kujua kipi ni kipi.
Next time uwe unauliza kabla ya kukurupuka kama umeota ndoto za kushinda biko.
GGMU
Mashabiki wa mpira hatupo hivyo Chief.Ukute uko namtumbo huko kijijini unalinda shamba la bibi yako. Shemeji yako kaja na tecno umemkwapua na umeingia jamii forum kuchangia mada bila kujua kipi ni kipi.
Next time uwe unauliza kabla ya kukurupuka kama umeota ndoto za kushinda biko.
GGMU
Sijui nini cha maana kilifanyika hadi timu ikacheza vile kipindi cha pili,lakini nakiri kwamba ndio aina ya mpira ambao mashabiki wote tumekuwa tukitaka timu icheze. Sio entertaining football wala defensive but ATTACKING!
Kwa mtizamo wangu,achilia mbali goli la kwanza lililotufufulia matumaini,mata amekuwa na uchezaji mzuri kwenye namba 10 kuliko pogba maana timu inakuwa laini zaidi akiwepo yeye. Kweli jamaa ni underrated kuliko tunavyodhani.
Mimi naona ni muda sasa lukaku asweke benchi au atokee pembeni then mata as no 10..Wengi hawakuliona hili.
Nafikiri Mou ataanza kumpanga mata atutolee maviungo mazito pale ili timu ichangamke.