lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,198
- 28,080
Shukrani mkuu,hivi huyu jamaa si alitaka kuwashusha daraja kwa mtindo huu huu wa kujaribujaribu kila mechi?
![]()
![]()
pole sana mkuu
![]()
![]()
pole sana mkuu
Asante ndugu, karibu jamvini. Tuna majonzi kwelikweli. Sijui siku tukikutana na wale majirani wakubwa itakuwaje na wale watani manake Kama Hawa watoto tuu wanatutia aibu namna hii. DaahWakuu poleni sana na msiba
Kumbuka pia mchezaji kashacheza sehemu nyingi. Kwaiyo anaelewa hata asipofundishwa. Maana kashakutana na waalimu wengi na wenye falsafa tofautiHivi ni akili mchezaji kubishana na mwalimu wake
Pogba alikosa nidhamu kumfundisha kazi boss wake
Mwalimu anataka kukaba we unamwambia mshambulie wapi na wapi
Huo ndio mfumo wa mourinho siku zote wakuu
Nimecheka kufa amesema "the first goal was a clear offsideNasubiri interview baada ya mechi nione leo ataaemaje huyu baba
Man u ina wachezaji Bora Sana Tena wengi Sana. Tatizo lipo kwa kocha. Kwanini anataka anunue ambao tayari waliisha tengenezwa. Asitengeneze wa kwake anao hapo wengi tuu.Hakupewa fungu la usajili........ Na alisema kbsaaa before msimu kuanza
Maybe wana ajenda ya siri. Who knows🙁🙁🙁Mi nafikiri Ed
Woodward na
Mwenzie Mourinho
wana makusud ya
dhati kabisa
kuidhalilisha
Manchester United
Wanasema kuvunjika kwa mkataba wake. Ita cost team pond 12 million. Mm naona bora tu wavunje kuepusha aibu hiiNaongea kwa maumivu makali morinho hana mbinu mbadala za mpira wa miguu man utd na cjui maboss wanasubri nni mpaka waone timu inavoingia Europe yani Daa raha hamna