Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,042
- 51,593
Kocha mpya philosophy mpya. Wachezaji wapya.Jose ameshakaa miaka 3 ndo huwa muda wake anatimuliwa hana jipya, lakini napo Man U hata akija Zidane bado mtapata tabu sana, wachezaji wa kiungo na Beki bado hamna
Pale man u defence yote ni ya kuuza isipokuwa shaw.
Lukaku, fred, lindelof ,smalling wote wakuuzwa hawa.
Hakuna kocha wa viwango vya juu atakubali kuwa na wachezaji average kama hawa