Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nadhan kocha apewe wachezaj anaowataka.
Huyu hana lolote. Alishapewa fedha, tena za kufuru, akamnunua Pogba, Lukaku, Lindelof, Sanchez, Baily nk .Wote hao aliwataka yeye, ambao kwa sasa wanaonekana hawafai. Itakuwa ni kupoteza fedha kuendekea kumpa fedha wakati analeta wachezaji ambao anashindwa kuwatumia.
Kwa jumla ya fedha iliyotumika, kwa kocha mwingine, angeweza kununua wachezaji hata nane, tena wa maana sana!
 
Valencia hana ushawishi wa kuzungumza na De gea, Sanchez, Pogba, Matic au Lukaku nafikiri kuna haja ya man u kutafuta nahodha mpya na sio huyu valencia
 
Mkuu, Baily ni boya zaidi. Kwa kuanza na Matic, Tominay, Fela na Pogba, maana yake alitaka kuprotect defence yake. Hivyo, concern yake ni kuepuka kufungwa kuliko anavyowazia kufunga. Lakini attacking sometimes is a good defending option.
Kaka,,unawezaje sema Bailly ni liability kwa failure za mechi mbili na kusahau the way alivotusuprise na performance nzuri 2 years consecutive??..can you mention out the first eleven of mu fc this season??
 
Ha ha ha
IMG-20180929-WA0000.jpg
 
Jamaa kama aliishindwa Madrid ina Alonso, Ramos, Abeloa, Alonso, Ozil, Modric, Ronaldo, Kaka, Benzema nk akaishia kugombana na Casillas hapo ndo nilimuona hajui mpira na akifukuzwa hapo atakuwa kocha wa ligi daraja la kwanza
mourinho anataka yeye awe star badala ya mchezaji
Anasahau kuwa wachezaji ndio watampa heshima
 
Jamaa kama aliishindwa Madrid ina Alonso, Ramos, Abeloa, Alonso, Ozil, Modric, Ronaldo, Kaka, Benzema nk akaishia kugombana na Casillas hapo ndo nilimuona hajui mpira na akifukuzwa hapo atakuwa kocha wa ligi daraja la kwanza
Halafu huwa hajistukii na hizo weakness zake za kukorofishana na wachezaji
 
Kaka,,unawezaje sema Bailly ni liability kwa failure za mechi mbili na kusahau the way alivotusuprise na performance nzuri 2 years consecutive??..can you mention out the first eleven of mu fc this season??
Hivi tangu Mou amefika MUFC,amewahi kuwa na starting XI?
 
Kuna mtu nilishamwambia kuwa ukishindwa kuifundisha Madrid au Barca basi we siyo Kocha, na tatizo lake Jose hapendi mchezaji awe maarufu kumzidi yeye, ndo maana alikuwa anagombana na CR7 na Hata Pepe
Halafu huwa hajistukii na hizo weakness zake za kukorofishana na wachezaji
 
Labda km tunaweza kumshawishi kocha Allegri, vinginevyo tutapiga marktime, hakuna makocha duniani saizi.
 
Back
Top Bottom