Asante mkuu.Radika, cute b na fans wote wa man u hapa jukwaani niwape pole kwa yaliyowafika
Low hawezi mikikimikiki ya ligi. Labda AllegriSahizi tumtafute Joachim Low au Mzee Wenger tu. Hawa akina zidane ni heri ziwe tetesi tu
Wakuu wengi wanapendekeza kocha mpya ila Mimi nadhani Zizzou ni favourite,kua simeone na allegri pia ila simeone na allegri wapo katika scheme nzuri sizani kama watapenda scheme ya unitedLow hawezi mikikimikiki ya ligi. Labda Allegri
Zizzou timu yetu hawezi kuinyoosha. Timu inahitaji kocha mwenye uzoefu wa kutosha kwa hatua ilipo.Wakuu wengi wanapendekeza kocha mpya ila Mimi nadhani Zizzou ni favourite,kua simeone na allegri pia ila simeone na allegri wapo katika scheme nzuri sizani kama watapenda scheme ya united
Mkuu ni mtihani mzito sana huu nadhani hili bodi inabidi ikae na legends pamoja na babu wajadili kwaundaniZizzou timu yetu hawezi kuinyoosha. Timu inahitaji kocha mwenye uzoefu wa kutosha kwa hatua ilipo.
D.Simeoni ni chaguo sahihiMkuu ni mtihani mzito sana huu nadhani hili bodi inabidi ikae na legends pamoja na babu wajadili kwaundani
Kabisa mkuu ila kumtoa pale atletico ni vigumu mnoD.Simeoni ni chaguo sahihi
UTD ni ndoto ya kila kocha mkuuKabisa mkuu ila kumtoa pale atletico ni vigumu mno
Mkuu sarri ball ni hatari liver anaoga huko tayari 1.Natamani Morinyo na kikosi chake wangetazama mchezo unaoendelea Darajani muda huu. Team work, passing accuracy, tackles, attacks, unavutia mno.
Tulijaribu baada ya kumtimua moyes akagoma mkuuUTD ni ndoto ya kila kocha mkuu
Napia mnunue wachezawa maana. Imarisheni defence. Defence ya kina smalling, jones, lindelof ni mbovu mno.. ina katika vibaya.. lukaku lingard sanchez wauzwe hawa. Wananuliwe wachezaji wenye uwezo wa kuamika.Zizzou timu yetu hawezi kuinyoosha. Timu inahitaji kocha mwenye uzoefu wa kutosha kwa hatua ilipo.
Najua anatazama kikosi alichokiacha. Mou huyu alikuwa anadhubutu ya kumuweka hazard benchi. Leo hii muone hazard anavyo perform. Kiburi chake huwa kinamponza sanaNatamani Morinyo na kikosi chake wangetazama mchezo unaoendelea Darajani muda huu. Team work, passing accuracy, tackles, attacks, unavutia mno.