Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya wale watetezi wa Jose mkuje hapa na utetezi wenye mashiko.
Wakija waulizeni Wagonga nyundo wana wachezaji wa viwango vya juu?maana walidai MUFC ina wachezaji wa kawaida!

Zama za mou zimepita,asipoondoka wachezaji inabidi waondoke maana anawaharibu. Najiuliza Herrera angekuwa Liverpool angekuwa fundi kiasi gani hadi sasa.
 
Dear Sir/Madam

Please find the attached document being a reminder that "ze goat has died at muuza supu's place"

Thank you.
IMG_20180929_162430_630.jpg
 
Vijana wanaonesha hawamtaki kocha kabisa... Ed Wood aingie sokoni. Kuna uwezekano kwamba pogba anawafuasi wengi sana ndani
Ina maana akija kukorofishana na kocha mwingine hali itakuwa kama hivi? Mi naona wasepe wote tu
 
Back
Top Bottom