Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Viungo wa ulinzi watatu,mtengenezaji mmoja mzitooo,uliza sasa timu unayocheza nayo.
Tukicheza na Chelsea, Liverpool si itakuwa balaa?
 
Leo ndo nimeona Manchester kuna tatizo tena kubwa sana na lisipotatuliwa hali itakua mbaya sana wachezaji wamechoka hawana ari tena wanacheza tu ili mradi wakamilishe ratiba inauma sana.
Mou ni tatizo lakini sometimes wachezaji nao wacheze kwa ajili ya heshima ya timu sio mtu.
 
Wachezaji hawana njia nyingine ya kumkataa huyu kocha,ni hii ya kumpa matokeo mabovu tu!
 
Manchester Ni Timu na Utamaduni Wake Utaendelea Kuwepo! Tatizo Ni Huyu Mmakonde Wa Kireno Mwenye Asili ya Msumbiji Ndiye Anayezidi Kujiharibia CV Yake.
Heshima aliyojijengea inazidi Kuporomoka na Kuonekana Kama Kocha Midtable team tu.
Hapo baadae hatotakiwa na Hata Cardiff City.
 
Nawakumbusha tu Mimi ndio yule mTanzania niliesema

,"Chini ya Mourinho Manchester msahau mafanikio"

At least Nina Kitu cha kujivunia duniani
Tafsiri ya mafinikio ni nini?

Hii kauli uliitoa kabla au baada ya msimu wa kwanza wa Jose

Au

Umeitoa msimu Mwaka jana na huu
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom