Maandiko yako yanazidi kutimiaNawakumbusha tu Mimi ndio yule mTanzania niliesema
,"Chini ya Mourinho Manchester msahau mafanikio"
At least Nina Kitu cha kujivunia duniani
Mechi ya leo Man U labda Sare itapatikana baadae.
MM kuanzia mournho alivyokwaruzana dk wa Chelsea huwa sina hamu Nae kabisa.... Polen man tayari parapanda ishalia jipangeni upya. Msimu ushaaribika.watetezi wa Mourinho mje hapa
Mechi ya leo Man U labda Sare itapatikana baadae.
Kitambaa hakitoshi.Mechi ya leo Man U labda Sare itapatikana baadae.






Championship huenda ikawa na watazamaji wengi kuliko La liga na UEFA next seasonMM kuanzia mournho alivyokwaruzana dk wa Chelsea huwa sina hamu Nae kabisa.... Polen man tayari parapanda ishalia jipangeni upya. Msimu ushaaribika.
Sanchez failedWaje kufanya nini?
Utetezi ni mmoja tu, Mou hakupewa wachezaji anaowataka.
Fred has not failed at all. He is very smartSanchez failed
Pogba failed
Lindelof failed
Fred failed
Bailly failed
Mkhitaryan failed
.....
Lukaku, Ibrahimovic & Matic angalau naweza kusema wapass
.....
sasa kama wewe ndiyo baba utaendelea kumsomesha mtoto ambaye anafeli kila unapojitahidi kumsomesha huku unatoa gharama kubwa??
......
mifumo inagoma haileti matokea we bado unang'ang'ania tu husikilizi wachambuzi, hushauriki hatimae wachezaji wanaamua kukuchana mbele ya vyombo vya habari bado tu hujiulizi mara mbili???
......
tulijipanga kisaikolojia haya matokeo hayatupi shida