Ndio maana nakwambia tatizo ni kubwa (fans tuko desperate) but wenye timu (Glazers) wametulia wako comfotable as long club inazidi kuingiza fedha mara dufu kama wasipo-adress haya matatizo United will fall apart taratibu wakija kushtuka its too lateNashindwa kujua kwanini management inaacha hili suala litawale kwa kipindi kirefu hivi bila kuingilia kati mapema,au wamegeuka kama wanasiasa wa bongo kuwa ni upepo tu na utapita
Jose ndiyo kocha mwenye makombe mengi zaidi EPL unataka approve kingine.?Hapo ni sahihi. Ila hiyo haimaanishi Jose ni kocha mzuri
Watu wengi walikuwa wanamlalamikia kuwa hajui kumtumia Pogba.Yote haya anayafanya ili aonekane kuwa hakukosea kufanya usajili wa pogba uliovunja rekodi ya uhamisho,sasa tujiulize,je, anatengeneza timu ya manchester united au pogba football club kwa privilege zote anazompatia?
Kumponda kocha hadharani pogba anafanya uhaini tena wazi wazi angekuwa chini ya Ferguson wala asingedumu angekuwa alishatolewa siku nyingi tuYote haya anayafanya ili aonekane kuwa hakukosea kufanya usajili wa pogba uliovunja rekodi ya uhamisho,sasa tujiulize,je, anatengeneza timu ya manchester united au pogba football club kwa privilege zote anazompatia?
Yawezekana uwezo wake umefikia mwisho. Pamoja na hayo kwani Chelsea wametimuana Mara ngapi? Na kumbuka yeye ndiye aliyewapa taji la ligi baada ya miaka 40 kama sikosei, Je, Hawajui hilo?Jose ndiyo kocha mwenye makombe mengi zaidi EPL unataka approve kingine.?
Kulikuwa na wahaini wengi tu pale Chelsea kama ambavyo anafanya Pogba .Yawezekana uwezo wake umefikia mwisho. Pamoja na hayo kwani Chelsea wametimuana Mara ngapi? Na kumbuka yeye ndiye aliyewapa taji la ligi baada ya miaka 40 kama sikosei, Je, Hawajui hilo?
Ila vipi unaridhika na uchezaji Wa timu chini ya huyu Mwalimu?Kulikuwa na wahaini wengi tu pale Chelsea kama ambavyo anafanya Pogba .
Huu ni uhaini ambao suluhisho ni kumwondoa tu
Acha kutukana humuMaandazi mama yako msenge wewe unakuja na pumba zako hapa et ustawi wa timu toka alipostaafu sir alex umeona timu ikibadilika? Badala ya kuizingua bodi inayofanya mambo ya kipuuzi unaniambia habar za kocha wao wanatakiwa wakae chini na kufikiria falsafa ya timu kama barcelona na arsenal walivyofanya sasa wao wanaajir tu hovyo hovyo halafu unategema mpira wa mourinho ubadilike uwe wa sir alex we si mpuuzi
Acha kutukana humuwe mkundu sana ujui chochote unaropoka tu **** mkubwa wewe hata utd uijui! ngoja nikuache shabiki vitumbua! na huyo basha wako mou lazima atolewe utd
Team haichezi vizuri kwa sababu ya uwepo wa wahaini ndani ya team hasa kwenye midfield .Ila vipi unaridhika na uchezaji Wa timu chini ya huyu Mwalimu?
Mimi hua situkani ila huyo dogo ndio kaanza matusi baada ya kushindwa majadiliano ya hoja! na ndio maana Mimi nimempotezea!Acha kutukana humu
Wamekuwa kama Moh na Pogba
Wamekuwa kama Moh na Pogba
Yeah team lazima ipoteane league ya uingereza siyo nyepesi kama wansvyodhani.ila inauma sana mkuu, yaani tunaona kabisa jahazi la timu yetu linazama hivi hivi..
Martial kwa sasa amekwisha...bora morinho amuuze√Martial ni potential kwa timu yetu.. ndo maana watu wenye akili kama ed woordward wanamshawishi aongeze mkataba
√Mourinho ni lazima atuachie timu yetu asizidi kuhiaribu..
√Sanchez katoka kufunga magoli 24 arsenal leo hii anacheza kama mchezaji wa daraja la tatu..
√Ni bora ugombane na mchezaji huku uwanjani ukiwa unaifanya timu ionekana kama timu kweli..hili huyu mreno kafeli,uwanjani na nje ya uwanja..Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwepo OT??
√Westham weekend hii sijui litakalotokea..ila amini usiamini,kwa mwendo huu top 4 tushaikosa
Angalia umri wa Sanchez√Martial ni potential kwa timu yetu.. ndo maana watu wenye akili kama ed woordward wanamshawishi aongeze mkataba
√Mourinho ni lazima atuachie timu yetu asizidi kuhiaribu..
√Sanchez katoka kufunga magoli 24 arsenal leo hii anacheza kama mchezaji wa daraja la tatu..
√Ni bora ugombane na mchezaji huku uwanjani ukiwa unaifanya timu ionekana kama timu kweli..hili huyu mreno kafeli,uwanjani na nje ya uwanja..Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwepo OT??
√Westham weekend hii sijui litakalotokea..ila amini usiamini,kwa mwendo huu top 4 tushaikosa