Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbinu za Mou zimepitwa na wakati. Anaumizwa na kivuli chake
Mi naona pogba anatuyumbisha anahitaji timu ya watu wenye kukaba sana kwa mfano ukiangali timu ya taifa ya france wote walikuwa watu wa kazi mbape mwenyewe alikuwa anakaba greizman anakaba matuid,kante,umtiti,varane,hernandez na pavard hapo lazima ang'ae hata giroud mwenyewe anakaba vizur tu kisa cha martial kukosa namba ni pamoja na hayo.
 
Asilimia kubwa ya wachezaji wanaonekana hawana amani,unataka kusema ni kwasababu ya pogba?

Wachezaji hawafurahii kushambuliwa kila mchezo hadi na vitimu vya daraja la pili,kocha kila timu ikiharibu anakimbilia kuponda wachezaji unadhani ni mchezaji gani atakuwa na amani ya kucheza vizuri?

Pogba alitoa maoni yake ambayo inaonekana ndio msimamo wa wenzake wengi,Mou kakimbilia kumvua unahodha,si maajabu hayo?

Suluhisho kwa MUFC ni kutimulia mbali Mou ili wachezaji wafunguke tuone vipaji vyao halisi,Mou anafundisha soka la kizamani.
 
Hapo hata Mimi nakubaliana na wewe.
 
Hivi ni akili mchezaji kubishana na mwalimu wake
Pogba alikosa nidhamu kumfundisha kazi boss wake
Mwalimu anataka kukaba we unamwambia mshambulie wapi na wapi
Huo ndio mfumo wa mourinho siku zote wakuu
 
Kinachonishangaza Mimi ni wtu kuona makosa ya Mou tu huku wakimtetea pogba wakati hana nidhamu na ningekuwa Mimi Ndio Mou ningemuuza January
Hivi ni akili mchezaji kubishana na mwalimu wake
Pogba alikosa nidhamu kumfundisha kazi boss wake
Mwalimu anataka kukaba we unamwambia mshambulie wapi na wapi
Huo ndio mfumo wa mourinho siku zote wakuu
Asante sana mkuu. Watu wengi hawalioni hili wanaona ni sawa tu pogba kum criticize mwalimu wake.
 
Sioni umuhimu wa kufukuza kocha tutahangaika sana mana atakae kuja ataanza kusajili bora tuvumilie mapendekezo yake yatakelezwe hizi program za kuishia njiani zina matatizo sana
bora tuhangaike lakini tuoneshe mwanga wa uelekeo mkuu now hatuoneshi hata kumaliza top 7.....unamtetea sana Mou ila amefeli mkuu..Na Pogba anakaa sana na mpira sababu kocha ameshindwa kuwa mkali kukataza hii tabia ya Pogba.

Sasa huyo ni kocha au kochi anakaliwa tu....
 
Mkuu hata aje nani tabu iko palepale bila kurekebisha namba 6 toka aliposepa roy keane lileshimo lipo wazi beki imara pande zate na striker mmoja wa maana hata ukiangalia toka aondoke ronaldo hatukuwah kupata namba 7 wa maana hilo tatizo yani yadi muda huu hamna mtu wa maana upande wa kulia hii timu itaharibu cv ya makocha wengi sana pogba kinachinsumbua uvivu wake tu anakwambwa hadi na jonjo

Mkuu simtetei kocha cha msingi bek alizopoint kocha ndio type yetu toka vidic hadi smalling na jones?
 
Mou ndo anayumbisha timu kila wakat unahitaji kukaba hata pale ambapo unaweza kupata matokeo bila hata kutumia izo mbinu zake ambazo wachezaji wake wengi wameonesha kutokubaliana na aina ya soka analotaka kufundisha
 
Hawa jamaa wanafki kinoma..klopp ukimpa hata Matheo Darmian ataupiga mwingi sana..
 
We jamaa mwongo wewe!!
 
Mkuu Hao wachezaji unaowaita wavivu (Pogba) wameupiga mwingi sana World Cup.
Tatizo la United ni mbinu za Mourihno na maneno yake mabovu kwa wachezaji.

Nakuhakikishia hii United unayoiona haina wachezaji wazuri Itafanya vizuri sana ikipata kocha mwenye mbinu sahihi.Hebu niambie unataka namba 6 ipi ndio useme United itatulia?

Mchezaji hawezi kuwa mzuri kama hapati nafasi ya kuonekana.Unamkumbuka Beki Darmian? Ni beki mzuri sana Yule lakini anaozea Benchi.
Ukisema Pogba mbovu Dunia itashangaa sana.
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Jose Mourinho: "You see the man on the opposition bench. That is my old player. Frank Lampard. That is a warrior, a leader on and off the field. A real captain, who puts the team first, different to what I have right now."
Sasa yeye si ndo anachagua nani awe captain? Kwann asimpige chini huyo anayemsema? Je hii inamuhusu valencia?
 
Mkuu kaongezeka pogba, lukaku,matic,lindelof na sanchez tulikuwa hata uefa kwenda mziki achilia kushika nafasi ya nne
 
Hapa amemaanisha martial angekua yupo kwa klop angekua bora huenda zaidi ya sala kama sikosei
 
Pogba wamuuze tu,kila kona story ni yeye duh mchezaji kajibrand kuliko ukubwa wa timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…