Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo ni umakini tu ndio unatuponza kwy kufunga (pasi za mwisho mbovu au hazitumiwi) na kwy kukata umeme tunaposhambuliwa...watu wanasubiri mpaka mtu anafika 18 ndio wamkabe.

Kwa kocha naona katimiza majukumu yake tatizo limebaki kwa wachezaji. Waliopo umakini hamna, wanaoingia sub ndio hovyo kuliko waliotoka.

Bora Sanchez na Fred wangebaki akaongezwa Pereira tu.
 
Hii Timu Morinyo akiiacha itakuwa sawa ila kama huyo mpuuzi bado yupo ni ujinga tu anafanya hajui kuhamasisha wachezaji hana urafiki na wachezaji.

Sijui kalizaliwa kwanini haka ka kocha ni wakati wa yeye kuondoka arudi alipotoka, Man u inaenda kuwa Ac Milan.
 
Timu ikishinda watu wanasema timu inawachezaji wazuri,timu ikifungwa watu wanasema hatuna timu..

Lukaku na sanchez mishahara wanayolipwa sijui ni ya kazi gani..hawa jamaa ingebidi kwa mwezi wawe wanavuta tsh750,000...
Mimi siwezi kuamini kama Man U itapona hadi pale Mou atakapoondoka OT.

Mou ni chanzo cha hayo yote na wachezaji aliowasajili hawajampa alichotaka na pesa alipewa sasa tunataka tuamini nini katika Mou!

Mou bora uende, umeniweka mbali na timu yangu.
 
Kila siku mimi napiga kelele hivi sanchez ni kipi anachoisaidia hii timu??..na still bado mourinho anampanga tu..

Poor management from our coach..

Tupo nje ya kinyanganyiro cha epl kabla hata october haijafika..
 
Tangu Mou anaingia Man U hajawahi kupata First 11 yeye kila siku anajaribu tu.

Hata Kim alijaribu makombora yake mwisho akaona amefanya alichotaka akakaa sasa kutazama.

Sijui kwanini makocha huwa hawafi haraka.

Back
Top Bottom