radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kila siku nasema tukipata watu wawili wa kazi anapocheza fellain na bek mmoja au wawili tuna timu nzur sana mana pogba na fred watakuwa free bila kumsahau maticHuyu Fred atatufaa sana
Kila siku nasema tukipata watu wawili wa kazi anapocheza fellain na bek mmoja au wawili tuna timu nzur sana mana pogba na fred watakuwa free bila kumsahau maticHuyu Fred atatufaa sana
Timu iliyokua inapiga mpira mzur england ni arsenal ya wenger kabla ujio wa pep na kocha wa spurs hata kipind yupo sir alex naona wengi mnachuk na wasahaulifuDaaa kama shabiki wa man u mechi kama hii haifai kuangalia bora usubiri tu ujue tumeshinda 3.ila haivutii kuangalia
Man u ilikua counter attack goli tayar.mechi ya watford ilikua tam sana kuangalia.Timu iliyokua inapiga mpira mzur england ni arsenal ya wenger kabla ujio wa pep na kocha wa spurs hata kipind yupo sir alex naona wengi mnachuk na wasahaulifu
Naona ni game plan tu imegoma cha msingi point tatu pia sio kila mech tutacheza hivo kuna timu ukifanya ivo unaumiaMan u ilikua counter attack goli tayar.mechi ya watford ilikua tam sana kuangalia.
Matic ana red cardHali tete. Hv Matic yupo majeraha?
Kwanza kama siyo degea tungepigwa nying tu.pereira ni promising player kuliko fred.Mou inabidi ajifunze kumaliza game mapema. Ti.u inakuwa slow at start
Ha ha ha haKwa nin Pogba asikae benchi kama mechi 10 iv tukaona mwenendo wa Tim?