Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

,
775218915SD022_BSC_Young_Bo1537390435399.jpg
775218915SD021_BSC_Young_Bo1537388507625.jpg
 
Naona Luke Shaw masimu wake ila majeraha yampitie mbali,

Dalot swala la muda Tu, yuko vizuri
Mkuu nilikuwa kila siku nataman beki mbili na tatu tupate asilia sasa naona ndoto inatimia pamoja na valencia na young kiwa vizur ila mm nilikuwa sipend
 
Halafu uzuri wa hawa mabeki umri bado mdogo. Valencia na young wajiandae
Kabisa hata cross zao ni nzuri sana tumepata faida sasa tuanze kuumiza kichwa 4 na 5 na pale anapocheza fellain maana kuna muda fellain anacheza kama namba 5 ningependelea pawe na mtu mwenye kasi tofaut na fellain japo kwa sasa anatusaidia sana
 
Kabisa hata cross zao ni nzuri sana tumepata faida sasa tuanze kuumiza kichwa 4 na 5 na pale anapocheza fellain maana kuna muda fellain anacheza kama namba 5
Ngoja tuone kama usajili huo utafanyika,

Najiuliza kwanini Bailly anamuweka nje
 
Back
Top Bottom