Kalia Mpka Nimejisikia Vibaya
Ronaldo kala umeme huko.
Kalia Mpka Nimejisikia Vibaya
Hamna kitu hao watoto wamekwishapewa nafasi mara nyingi tu halafu wanazichezeaKuhusu line up..Mimi ningempumzisha lukaku(angekaa bench)..nikamuweka Rashford kama CF then martial kama LW na ANDREAS PERREIRA kama RW(yes amecheza hii nafasi mara nyingi alipokuwa Valencia na Granada).
Alaf uone mpira utakavyopigwa hapo
Hadi amelia,ameumia kuikosa mechi ijayo ambayo alikua anarudi nyumbani old traffordKalia Mpka Nimejisikia Vibaya
Nshakuomba unielekeze namna ya kupata hizo highlits hukunipa majibu
Nshakuomba unielekeze namna ya kupata hizo highlits hukunipa majibu
Hadi amelia,ameumia kuikosa mechi ijayo ambayo alikua anarudi nyumbani old trafford
Pogba kupiga penat sio wa kumtegemea