radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Bailly kwenye kukaba kidogo kadrop anahitaj kurud ktk kiwango chakeNgoja tuone kama usajili huo utafanyika,
Najiuliza kwanini Bailly anamuweka nje
Bailly kwenye kukaba kidogo kadrop anahitaj kurud ktk kiwango chakeNgoja tuone kama usajili huo utafanyika,
Najiuliza kwanini Bailly anamuweka nje
Dalot kwa mech za liverpool,chelsea na man city tunaumia mkuuKocha aendelee kuwa nafasi tu, hasa huyu Dalot
Cha msingi ajitume tu, ili apate nafasi kwenye kikosi cha KwanzaBailly kwenye kukaba kidogo kadrop anahitaj kurud ktk kiwango chake
Shaw kwa kweli ananifurahisha sna karudi vizur hata fellain alipoingia alikuwa vizur sana
Hizo bado aiseee, huku kwenye under 20 acheze sana Ila awe sawa zaidi. Kila kitu mazoezi na kujitumaDalot kwa mech za liverpool,chelsea na man city tunaumia mkuu
Mkuu hata kama ni ushabiki basi usizidi kiivo, kwahiyo leo hujaona umuhimu wa pobga uwanjani?Safi sana kocha toa kabisa uyo Pogba hana umuhum
Kabisa martial alipoteza kujiamini naona kipind cha pili alirud vizur sana kipind cha kwanza alikuwa hovyo.Kingine nimeona toka kwa Martial, huyu dogo Mou anatakiwa amjengee kujiamini tu.
Hata mm nimeshangaa sna pogba hadi anatoka alikuwa na mchezo mzur japo alikuwa anakera kuna muda kuwekeana mamisuli na kuanguka kama uliona alipoingia perreira mahala pake dogo alikuwa anapeleka timu mbele haraka snaMkuu hata kama ni ushabiki basi usizidi kiivo, kwahiyo leo hujaona umuhimu wa pobga uwanjani?
Hawexi kucheza mechi hizoDalot kwa mech za liverpool,chelsea na man city tunaumia mkuu
Pair ya Lindolf na Chris itaimarikaCha msingi ajitume tu, ili apate nafasi kwenye kikosi cha Kwanza
We conquerValencia na Young wataanza kutulia bench muda sio mrefu.
Shaw na Dalot wanasukuma mashambulizi kuliko hao jamaa.
So ndiyo Leo? UnipitieKuna jamaa wa benki kanipigia simu , kesho niende na goli la pogba nikachukue mkopo
Kinachomsumbua kikubwa ni kupanic hasa akipoteza mpiraBailly kwenye kukaba kidogo kadrop anahitaj kurud ktk kiwango chake
Lukaku alinyoosha mikono yote kuomba pande ila dogo akaamua kusukimia kunako kimiaKingine nimeona toka kwa Martial, huyu dogo Mou anatakiwa amjengee kujiamini tu.


Na angesema ataoe pande wangekosa goli wakati huo mashabiki walikuwa wakimuimba martial afunge goli.Lukaku alinyoosha mikono yote kuomba pande ila dogo akaamua kusukimia kunako kimia![]()
Aisee niliipenda sana ile, angerogwa tu lukaku angetembelea nyota yake ya ng'ombeNa angesema ataoe pande wangekosa goli wakati huo mashabiki walikuwa wakimuimba martial afunge goli.

Lukaku alinyoosha mikono yote kuomba pande ila dogo akaamua kusukimia kunako kimia![]()
Sure aisee, si wa kumuamini sana. Shabaha yake ipo sana kichwani.Lukaku nae kumpa pasi inabidi uangalie sana kama yupo kwenye nafasi nzuri,unaweza kumpa akakosea kuugusa nafasi ingepotea hivi hivi.😀😀