Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa hiyo Mimi niache kushabikia Man U na kutoa maoni yangu juu ya Man U kwa sababu Mimi siyo mwenye timu!? Na wewe unapaswa kusifia tu kila kitu juu ya Man U kwa sababu wewe siye mwenye timu!? Kwa hyo na wachambuzi wengine wanaoeleza juu ya strengths na weaknesses za lukaku wanakosea kwa sababu siyo wamiliki Wa Man U!?
Maana yangu ni kwamba maoni utatoa ila there nothing you do. Kwa hiyo usishupaze shingo sana ukidhani ina effect yoyote.

Ndio maana yangu hiyo.
 
Maana yangu ni kwamba maoni utatoa ila there nothing you do. Kwa hiyo usishupaze shingo sana ukidhani ina effect yoyote.

Ndio maana yangu hiyo.
Kama tunaotoa maoni humu ukiwepo wewe tunashupaza shingo for nothing acha tu zivunjike kabisa. Ila ushabiki wangu kwa Man U hauko sawa na wewe. Unadhani Wamiliki Wa Man U wanafahamu kwamba Mashabiki Wa ile timu wanapatikana Jiji la Manchester pekee?
 
Kazakaza mzee utatoka.
 
Kikosi cha leo naona kipo vizur kwa mara ya kwanza naona beki za pembeni tumechezesha asilia nione watacheza vipi martial na rashford washindwe wao tu
FB_IMG_1537379932076.jpeg
 
Kikosi cha leo naona kipo vizur kwa mara ya kwanza naona beki za pembeni tumechezesha asilia nione watacheza vipi martial na rashford washindwe wao tuView attachment 871551
Tutapata tabu sana...Martial utumbo aliofanya dakika chache za juzi bado anaanzishwa. Hizi dharau za Mou sijui zitaisha lini. Hizi timu vibonde ndio unatakiwa upambane uondoke na point sita zote. Kwa hiyo hapa anadharau anadroo halafu akakomae kushinda kwa Juve, hii akili au matope?
 
Kocha yupo sahihi mkuu martial lazima acheze hatuwezi kumtandika mkeka mazima bado mdogo ana muda wa kujifunza japo anazingua tumvumilie
 
Dalot bado naona hayupo fit niliangalia mech ya under 23 tulicheza na reading wadogo alistrugle sana labda huenda leo akafanya poa wacha nisubir hapa
 
Kuhusu line up..Mimi ningempumzisha lukaku(angekaa bench)..nikamuweka Rashford kama CF then martial kama LW na ANDREAS PERREIRA kama RW(yes amecheza hii nafasi mara nyingi alipokuwa Valencia na Granada).
Alaf uone mpira utakavyopigwa hapo
 
Back
Top Bottom