ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Issue ni kushindwa kufunga tu,mimi naona anajua sana kujiposition ila its useless kama team hainufaikiLakini mnasahau hizo chance ame craete yeye mwenyewe kwa juhudi zake kupitia kasi yake na kuwapa nyama mabeki upinzani. Chance zile aina ya striker kama kina Kane na Morata hawawezi kuzitengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba umetoa wapi vitakwimu vyako uchwara???Ole Gunnar Solskjaer
Appearances-235
Goals-91
Dennis Bergkamp
Appearances-315
Goals-87
What are you trying to tell us?
Vitakwimu vyangu uchwara nimetolea hapa.Mzee baba umetoa wapi vitakwimu vyako uchwara???View attachment 855632
Halafu huyo alikuwa akitoakea bench na majeruh kibao super sub
Basi bado zinambemba baby face maana kapiga hizo goli ktk mechi 235 chache halafu injury prone na mtokea bench wakat huyo ktk mech 315Vitakwimu vyangu uchwara nimetolea hapa. View attachment 855717View attachment 855719View attachment 855718
Sawa mkuu, nakuona upo active sana kwenye baadhi ya nyuzi ambazo pengine mtu anaweza kuchukulia kama za kiume. Mfano soka, Series na kule kwenye nyuzi ya vichekesho.
Upo vizuri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hukuelewa nilichokuwa namjibu Belo sikuwa nafanya comparison kati ya Solskjaer na Bergkamp bali nilikuwa najaribu kumuelewesha kwamba kufanya comparison ya ubora kati ya mchezaji wa EPL ya leo na ya miaka kadhaa nyuma kwa kutumia kigezo cha magoli kama alivyofanya yeye kwa Lukaku na Drogba ni nonsense.Basi bado zinambemba baby face maana kapiga hizo goli ktk mechi 235 chache halafu injury prone na mtokea bench wakat huyo ktk mech 315
I think ulipaswa uanze kumjibu mwenzio aliyesema Samata ni bora kuliko LukakuNadhani hukuelewa nilichokuwa namjibu Belo sikuwa nafanya comparison kati ya Solskjaer na Bergkamp bali nilikuwa najaribu kumuelewesha kwamba kufanya comparison ya ubora kati ya mchezaji wa EPL ya leo na ya miaka kadhaa nyuma kwa kutumia kigezo cha magoli kama alivyofanya yeye kwa Lukaku na Drogba ni nonsense.
Just because Lukaku ana magoli 104 katika EPL sawa na aliyofunga Drogba basi ndo tuseme Lukaku is already up there with the likes of Didier Drogba.
Mkuu that was a joke bila shaka.I think ulipaswa uanze kumjibu mwenzio aliyesema Samata ni bora kuliko Lukaku
Wamelinganisha kwa idadi ya mechi na si kwa ubora didier drogba ni habar nyingine kabisa alikuwa na uwezo wa kuamua mechi bila wasiwasi kwa nafasi ambazo lukaku kakosa magoli hata chicharito alikuwa hakuachiLukaku si type ya Manchester kwa sasa (wapo wengi pale united)
Mtu aina ya Lukaku pale United yeye ndiye mwenye jukumu la mwisho katika kuipa timu ushindi au kuinyima lakini yeye ndio amekuwa mtu wa kwanza kuboronga nikitoa mechi ya jana aliyoshindwa kuconvert nafasi za wazi 3 hapa nazungumzia game ya Spurs na Leicester games ya Brighton sikuangalia (alifunga)
game ya Leicester alikosa nafasi ya wazi alikuwa yeye na kipa tu akakosa kutupa goli la tatu na mchezo haukuwa rafiki kwa siku ile....forward anakosa ndiyo lakini si kwa ukosaje wake
kuna haja ya kuzungumzia ile clear chance agains Spurs??? jana je???
MWISHO: msiniquote vibaya Lukaku ni mchezaji mzuri ila si aina ya mchezaji wa United.
Didier Drogba apps 254 goals 104
Romelu Lukaku apps 224 goals 104
hakuna sehemu niliyosema Lukaku ni bora kuliko Drogba hapo....
i see Jordi Alba in LUKE SHAW
GGMU
Hahahahah wameficha coment zao wanasubir tupigwe
Hata game ya burnley tulikuwa bora sna goli kama nne za wazi tumekosa tulikuwa pungufu bado tulikuwa hatarHahahhaha,mkuu @Radika,tunakomenti kwa zamu kulingana na matokeo ya timu.
Hata ukiangalia comments nyingi humu hazikuwepo pindi tulipochezea kwa spurs.
Kimsingi hatukatai timu kufungwa bali tunafungwa vipi na tunacheza vipi ndio kitu cha msingi kwa upande wangu.
Kati ya game zetu zote tulizocheza,binafsi nilifurahia mpira tuliocheza dhidi ya spurs ingawa ndio game tuliyopigwa kwa aibu zaidi.
unatengeneza chance halafu hauconvert inamaana gani?? angalia Kane hatengenezi chances lakini habari yake hakuna asiyejuaLakini mnasahau hizo chance ame craete yeye mwenyewe kwa juhudi zake kupitia kasi yake na kuwapa nyama mabeki upinzani. Chance zile aina ya striker kama kina Kane na Morata hawawezi kuzitengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app
YES tunaongea lugha moja leoWamelinganisha kwa idadi ya mechi na si kwa ubora didier drogba ni habar nyingine kabisa alikuwa na uwezo wa kuamua mechi bila wasiwasi kwa nafasi ambazo lukaku kakosa magoli hata chicharito alikuwa hakuachi
Ndio maana tunasema mpira ni magoli,Spurs walicheza kama Manchester United ya Mourinho while United walicheza kama Spurs ya Pochetino na mwisho tukapoteza mechiHahahhaha,mkuu @Radika,tunakomenti kwa zamu kulingana na matokeo ya timu.
Hata ukiangalia comments nyingi humu hazikuwepo pindi tulipochezea kwa spurs.
Kimsingi hatukatai timu kufungwa bali tunafungwa vipi na tunacheza vipi ndio kitu cha msingi kwa upande wangu.
Kati ya game zetu zote tulizocheza,binafsi nilifurahia mpira tuliocheza dhidi ya spurs ingawa ndio game tuliyopigwa kwa aibu zaidi.
- mbona croatia hawana toni kroos, casemiro, isco lakini bado luka modric anacheza vizuri mechi zote.
- mbona matuidi anacheza vizuri akiwa juventus na ufaransa.
- mbona ngolo kante anacheza vizuri akiwa klabuni na timu ya taifa.
Ndio maana tunasema mpira ni magoli,Spurs walicheza kama Manchester United ya Mourinho while United walicheza kama Spurs ya Pochetino na mwisho tukapoteza mechi