Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni sahihi ukisemacho ila kiubinadamu baadhi ya vitu unajikuta unatoka nje ya mstari,refer back to Zinedine against Marco materrazi tena kwenye moment kama ile kwenye fainali ya kombe la dunia tena zizzou akiwa ndo mbeba timu na capitano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipind cha huyo jamaa tulipeta sana gill alotoa pesa za usajili nnavyohisi ed kakasirika baada ya mourinho ku block ronaldo kurud united jamaa anapenda sana biashara.

Leo Mourinho kasema hakukua na mpango wakumrudisha CR7 OT.
 
Hahahah umewahi kucheza mpira?? Na umeona kisa cha yeye kureact?? Refa ndio kachemka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wachezaji wameanza wanacheza hovyo sana ...wameanza kucheza kama wanasusia mimi sioni kosa kwa kocha jose swala ni vijana hawajibiki ni kwasababu ya tofauti zao na kocha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii jukwaa tukifungwa unakutaw wawnaojidai wanazi wa timu utakuta wametema comment kama 500+ lakin i ajabu neema ikiwepo wanaona aibu kuja kutema komnti tena.
Hahahahah wameficha coment zao wanasubir tupigwe
 
Did you see the impact of Matic on last two game ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…