Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,299
- 46,753
Hahaha!!...waandishi wa habari wa UK watamkoma huyu jamaa..leo mwishoni mwa press kawazodoa tena kama kawaida yake..Mourinho amezidi kuichefua roho yangu kwa pre match conference aliyoifanya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

