Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitu pekee ninachompendea Sanchez ni kujiamini kwake,ana uwezo wa kuwapiga chenga mabeki. Hii itasumbua mabeki na kuwafanya wamchezee rafu.

Ila tukiendelea na Lukaku,kazi itakuwa ngumu.
Kinolchoumiza zaidi
Tazama wapinzani wetu wanavyobadili falsafa zao.
Asernal hao wanaingia kwenye industry ya modern football
(Pressing styles) falsafa inayomjambisha mpinzani wako dakika zote za mpambano.
Tuna magic Magic, Fred, Super Herrera,
Una Pogba, unahitaji nini zaidi hapo zaidi ya kuwasikiliza wachezaji na kuhamia walau kwenye soka la kisasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juma 3 licha ya kupoteza, mimi nnaamini tulicheza mpira tunaopaswa kucheza kila siku kukiwa na narekebisho kwenye marking na finishing. Tungeshinda sisi tatu lakini kwa mchezo ule wa kudefend, tungepondwa kuliko hata tunavypondwa sasa.

Inabidi itafutwe namanHerera anaweza kuwa-accommodated kwenye midield, tutamwona Fred na Pogba wanaotisha km mvua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamesajili pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nashangaa wanaosema Mou hajapewa wachezaji,sijui ni wachezaji gani hao?

Ukizungumzia mabeki wa kati,namlaumu kocha kwa kushindwa kuwatengeneza wakaelewana.

Leo unamchezesha Rojo na smalling,kesho Eric na smalling,kesho Victor na smalling..ni lini watatengeneza partnership kama ile ya Nemanja na Rio?
 
Sahihi sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilevya juzi inadeserve kuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mou amefeli kuunda kikosi cha kwanza man utd.... Hili ni tatizo kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutavumilia tu ila isifikie extent ya Liverpool au arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app

√ Mwanzoni Mwa Miaka Ya 1990 Liverpool Walisema Hatutokuwa Kama Nottingham Forest

√ Mwanzoni Mwa Miaka ya 2005 Arsenal Walisema Hatutokuwa Kama Kama Liverpool & Nottingham Forest

√ Sasahivi Man United Wanasema Hatutokuwa Kama Arsenal & Liverpool

• Nakumbusha tu Kuwa Man United sasa ana Mwaka Wa 6 hajabeba EPL.. Lakini Akumbuke Kwamba Hata Hii Miaka 40 ya Nottingham Forest, Miaka 27 ya Liverpool na Hii 15 ya Arsenal nayo ilianza na 6.

Kwahiyo Usishangae Sana Kujikuta Unakuja tulipo
 
Mourinho akiondoka unafikir ndo kufanikiwa kwa manchester?

Kabla ya mourinho wamepita wakina nani?

Timu ina jina kubwa lakin tunawachezaj wa kawaida
Upo sahihi yani timu haina world class players, yani ukimtoa De Gea hakuna mchezaji mwingne anayepata namba man city au barca au madrid. Wachezaj wa kawaida sana alafu Mourinho sio type ya wachezaji hao Mou anataka wachezaji ambao tayar wamekwiva yy ndo anawatumia kwa muda Mfupi. Kikosi hiki angekuwa babu Fergie hii utd ingechukua hadi Uefa yule mzee alikuwa anawapa aana morali wachezaji na wote kuonekana ni kitu kimoja na wanaweza kupiga kazi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…