Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Media za soka duniani zinaipenda Manchester United kuliko timu zote. Manchester United kila wakifungwa attention yote inaelekezwa kwao badala ya timu iliyoifunga. It's as if media zinasononeka.
 
Umekariri sana,na upo ktk delussional mode ya Mzee Ferguson
Ninachukua ama EPL au CL au vyote viwili msimu huu
Kipa mzuri,midogo imetulia,beki imara na foward bora Ulaya kwa sasa nashindwaje kuchukua CL
Ffs!! Unaota wewe!

Ugiligili
 
Nadhani haujaelewa nilichosema. Badala ya kuipongeza timu iliyoshinda, media zipo busy kusononekea kufungwa kwa Man Utd. Kuna timu zaidi ya Man Utd zilizofungwa this weekend.
Brand ya uingereza ile
 
Fact mkuu cha msingi bodi itambue majukumu yao vizur unamuongeza kocha mkataba kisha unamnyima pesa ya usajiri
Mimi naona Woodward yuko sahihi kwa investment waliyofanya misimu miwili iliyopita inatosha kabisa kinachotakiwa sasa ni kuona kama investment hiyo imelipa au lah.
Kocha hawezi akawa anaomba hela ya usajili kila musimu halafu usajili wenyewe haujibu ni hasara kwa team.
Kwa hili la usajili mimi namuona Woodward yuko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima kuwe na watu wenye uzoef tunawachezaj wengu vijana tungepata bek mmoja mwenye uzoef kama tobby na msambuliaj mmoja ingekaa poa angalia city kuna company,silva fernandinho na kdb na aguero msimu uliopita tuliluwa wa pili hapo tulitakiwa kukaza tena kuboresha timu tumelala sisi tunajilinganisha timu anbazo tayar zina wachezaj wakomavu wa lig
 
Hayuko sahihi, kwa aksi na mabadiliko yanayotokea kwenye ligi za ulaya hasa Uingereza kwa sasa kila ligi ni mpya na inahitaji kujiimarisha zaidi na kujiimarisha kwenyewe ni kununua wachezaji watakaoendana na ligi ya sasa hivi. Usipofanya hivyo wenzako watakuacha 10-13 au hata kushuka daraja. Mancity mwaka huu wako vizuri kama mwaka jana lakini kwa sababu ya timu zingine kujiimarisha hasa Liverpool utashangaaa Mancity wakishindwa kutetea ubingwa ilihali wana timu nzuri lakini ni ya mwaka jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…