Hahaha mkuu naona kama utabiri unatimia [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Kuna game hata mkifungwa unasema yeah, although we are beaten, we had the ball
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile Bangii Ndo Hii
Lishasema kitambo Jones na Smalling hakuna loloteJones ni mzigo pale nyuma