SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
Dah. Hiyo Yellow kwa Herera ni mbaya sana maana leo yupo special kwa kukaba. Nahofia red
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa sawa na ya Moura.Dah. Hiyo Yellow kwa Herera ni mbaya sana maana leo yupo special kwa kukaba. Nahofia red
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu huo. Mpira mwi gi unapigwa na UnitedHii mechi bora kuangalia Faru Jeuri ya ndondo cup. Yani team zote zinacheza upupu mtupu utafikiri sio EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Goli la waz kabisa daaaHizi nafasi Lukaku ndio alisababisha tupigwe mechi iliyopita.
Unakosaje goli kama hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wale madogo akina Martial na Rashford hawapo au? Mbona naona kama Maureen anajinyimaga ushindi kwa kumchezesha Rukarukatu pale mbele?
Hahaha leo tupo angalauLeo twacheza
Angalia mech ya celta vigo au roma zipo hewani muda huuHii mechi bora kuangalia Faru Jeuri ya ndondo cup. Yani team zote zinacheza upupu mtupu utafikiri sio EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
ukistaajabu ya Musa utayaona ya FirauniIla Leo Wanacheza Sema Tuuh Ao Tottenham Wamekuja Vizuri.
Nipo nacheki ya Roma vs Atalanta hapa.. Nimeona huko Old Trashford watu wanaruka ruka tu kama ndondo cupAngalia mech ya celta vigo au roma zipo hewani muda huu
Ndo mana duniani kuna timu kibao cha ajabu hazijawahi kucheza mpira wa aina moja labda dunia yako uliyopo mkuuNipo nacheki ya Roma vs Atalanta hapa.. Nimeona huko Old Trashford watu wanaruka ruka tu kama ndondo cup
Sent using Jamii Forums mobile app