Nenda ukanyweshwe maziwa weweAiseeee siipendi man u na baselona furaha yangu ziwe zinafungwaga tuuuuuuuuuuuuuuuu nafurahiiii sana
Sioni Sare Japo Ata Iyo TwaombeaahHii game itaisha sare
Pole Sana ndugu yangu naona hii ni sare ya msiba[emoji24]Hii game itaisha sare
Pole Sana ndugu yangu naona hii ni sare ya msiba[emoji24]Hii game itaisha sare
Ni wiki ijayo.Wakuu Hile issue ya Washabiki Wa Man U Kukodi Ndege Ya Kubeba Bango la EdOut Ni mechi ya Leo au?
Hahahahaha muiteni jamani tunaitaji magoli.Numbisa Ni Manure Kindakindaki Sasahivi Anaugulia Maumivu Kwanza