ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Man U ya Leo ilitakiwa Iwe hivi mwanzo wa Ligi hadi Mwisho wa Ligi
Fred yupo njema sana. A gekuwa City, angetisha. Dogo yupo na mjanja. Ni hazina hyo dogo endapo kocha ataruhusu timu icheze mpiraIla Leo Wanacheza Sema Tuuh Ao Tottenham Wamekuja Vizuri.
Leo ata Fred Mipira Anaiona,
Naona Ata Mou Leo Anaruka.
HT..... Tusubiri Dakika Zijazo.
Hata pogba kaachwa huru lakin bado
Lukaku tuliboronga sana,naonaga bora hata Morata maana ana uwezo wa kukushikia mpira mpaka ufike kitu ambacho lukaku kwake ni ndoto.
Ningekuwa Mou ningetoa Lukaku niweke Sanchez
Hata pogba kaachwa huru lakin bado
Hataki kupewa lawama bora mbele kwa mbeleMuda mwingine ana utoto mwingi.
Halafu sielewi ni kwanini De Gea akirudishiwa mpira hata kama ana chance ya kumpasia mwenzie ni lazima abutue mbele.
attempts
manchester United 20
totenham 2
LUKAKU AMEKOSA GOLI LA WAZI
MATIC KIDOGO ACHOME NGOME